Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Ni upuuzi kuendelea kumlaumu J K Nyerere aliyekaa miaka 25 kama Rais wakati waliomfuata kwa ujumla wao wamekaa miaka 31.Kwa rasilimali tulizonazo ilitakiwa tuwe ligi moja na South Africa, Nigeria, Algeria, Morocco na Egypt lakini kwa hali halisi tuko nyuma sana.
Msingi mbovu ulijengwa na Nyerere ambaye naye kwa kuwa na fikra za kutaka atawale milele akajenga mfumo wa rais Mungu mtu na mfumo ambao chama ndio dola ambao ndiyo unatutesa hadi sasa.
Laiti kama Kambona ndiye angekuwa kiongozi wetu, tusingekuwa kama tulivyo leo hii na hili nina uhakika nalo kabisa.
Leta hoja nyingine