Tokea Jenista Mhagama apewe Wizara ya Utumishi hakuna aliyelipwa malimbikizo

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
3,436
Reaction score
7,955
Sijui ana gundu au anamshauri vibaya Rais au anamdanyanya ukute😄

Alipoingia alisema wanainginza data kwenye mfumo mpya wa HCMIS ili walipe! Ishapita mwaka sasa watu wanadai malimbikizo muda mrefu!

Je, mambo ya mwendazake kudharau madai halali yanaendelea?
Je, Jenista haona kuwa watu wanateseka na madai yao au anapuuzia! au ana gundu atolewe hapo!?

Yaan anadunda tu na ka Diploma kake!
 
Sijui ana Gundu au anamshauri vibaya Raisi au anamdanyanya ukute[emoji1]

alipoingia alisema wanainginza data kwenye mfumo mpya wa HCMIS ili walipe! ishapita mwaka sasa watu wanadai malimbikizo muda mrefu!
Je mambo ya mwendazake kudharau madai halali yanaendelea?
Je jenista haona kuwa watu wanateseka na madai yao au anapuuzia! au ana gundu atolewe hapo!?

Yaan anadunda tu na ka Diploma kake!
Fanya kazi kenge wewe, maneno na vitendo ni tofauti sana
 
Sijui ana Gundu au anamshauri vibaya Raisi au anamdanyanya ukute😄

alipoingia alisema wanainginza data kwenye mfumo mpya wa HCMIS ili walipe! ishapita mwaka sasa watu wanadai malimbikizo muda mrefu!
Je mambo ya mwendazake kudharau madai halali yanaendelea?
Je jenista haona kuwa watu wanateseka na madai yao au anapuuzia! au ana gundu atolewe hapo!?

Yaan anadunda tu na ka Diploma kake!
Mohamed Mchengerwa arudi hapa Jenista aende kwa Mchengerwa
 
Sijui ana Gundu au anamshauri vibaya Raisi au anamdanyanya ukute[emoji1]

alipoingia alisema wanainginza data kwenye mfumo mpya wa HCMIS ili walipe! ishapita mwaka sasa watu wanadai malimbikizo muda mrefu!
Je mambo ya mwendazake kudharau madai halali yanaendelea?
Je jenista haona kuwa watu wanateseka na madai yao au anapuuzia! au ana gundu atolewe hapo!?

Yaan anadunda tu na ka Diploma kake!
Hata zile porojo zao za kuwalipa Wenye vyeti feki akishirikiana na Ndalichako umezisikia tena ?
 
Sijui ana Gundu au anamshauri vibaya Raisi au anamdanyanya ukute[emoji1]

alipoingia alisema wanainginza data kwenye mfumo mpya wa HCMIS ili walipe! ishapita mwaka sasa watu wanadai malimbikizo muda mrefu!
Je mambo ya mwendazake kudharau madai halali yanaendelea?
Je jenista haona kuwa watu wanateseka na madai yao au anapuuzia! au ana gundu atolewe hapo!?

Yaan anadunda tu na ka Diploma kake!
Mbona tunasikia Vyeti fake wamelipwa tunasikia Watumishi waliokuwa wanadai Mslimbikizo wote wamejazwa Manoti huku MAMA AKIUPIGA MWINGI SANA
 
Mbona Mama alisema ni kiraka au alimaanisha fundi cherehani Jenista kuwa ni mtaaalamu wa kushona viraka!
 
Sijui ana Gundu au anamshauri vibaya Raisi au anamdanyanya ukute😄

alipoingia alisema wanainginza data kwenye mfumo mpya wa HCMIS ili walipe! ishapita mwaka sasa watu wanadai malimbikizo muda mrefu!
Je mambo ya mwendazake kudharau madai halali yanaendelea?
Je jenista haona kuwa watu wanateseka na madai yao au anapuuzia! au ana gundu atolewe hapo!?

Yaan anadunda tu na ka Diploma kake!
Yaani kama kuna kundi la wadai wa serikali ambao hawasikilizwi ni watumishi wa umma.Halafu watumishi wa umma wa Tanzania ni kundi linaoongozwa kunyonywa na vyama vyao vya wafanyakazi.unajua vyama vya wafanyakazi vya bongo ni mkono wa kushoto wa serikali.Hakuna wanachoweza kufanya ilinkusikilizwa,labda iwe jirani na uchaguzi.Halafu,nadhani pia kuna Systemic failure, yaani set up ya uongozi.eti Raisi wa chama cha wafanyakazi yuko kwenye payrol ya serikali,halafu unataka aipigie makelele serikali inayompa salary wakati kwenye chama anapokea posho tuu.
Nimeona CWT, hapa juzi kama wamefurukuta lakini nadhani watazidiwa nguvu tuu.

Halafu taasis zingine ambazo mpaka leo sijaonaga faida kwa mwanachama,chama cha wauguzi,bodi ya wahasibu,bodi ya wagavi.na vyama vingine vingi vya kitaluuma.naona kama ni fund raising structures zinazoongeza mzigo kwa mfanyakazi
 
Sijui ana Gundu au anamshauri vibaya Raisi au anamdanyanya ukute[emoji1]

alipoingia alisema wanainginza data kwenye mfumo mpya wa HCMIS ili walipe! ishapita mwaka sasa watu wanadai malimbikizo muda mrefu!
Je mambo ya mwendazake kudharau madai halali yanaendelea?
Je jenista haona kuwa watu wanateseka na madai yao au anapuuzia! au ana gundu atolewe hapo!?

Yaan anadunda tu na ka Diploma kake!
Tusichokijua:[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom