Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Yeye Kesha fanya yake Jenista ya kutaka mjaze hizo from, baada ya hapo elewa malipo sio mamlaka yake ni ya waziri wa fedha.sasa wanapomruhusu Rais aongee hadharan kuwa mwez flan tunalipa madeni ya watumishi halafu anakausha hatekelezi ahadi je anayemwaibisha si Rais?
kama hakuna ni bora waseme hakuna! kuliko kujitapa halafu hakuna kitu
Lawama zinazofuata ni ‘mbuzi wa kafara’ akiwa kama waziri wa sector husika. Lakini in practice hana hayo mamlaka ya kuidhinisha hizo fedha, huo ndio uhalisia wenyewe.
Mtu mwenye mamlaka ya ku force hayo malipo ni raisi and that depends with other current budgetary obligations za serikali na jinsi Mwigulu atavyoweza mudu hayo majukumu ya kifedha akitoa hizo hela kuwalipa.