Tokea Jenista Mhagama apewe Wizara ya Utumishi hakuna aliyelipwa malimbikizo

Tokea Jenista Mhagama apewe Wizara ya Utumishi hakuna aliyelipwa malimbikizo

Jenista mama mwenye roho mbaya sijapata kuona sijui anaishije na mumewe humo ndani kwao. Amewekwa pale kukwamisha Mambo na sio kurahisisha.
 
Huyu mama Huwa ni nuksu tangia enzi za Magufuli huyu mama ni kero Kwa watumishi, sijui Kwanini huwa hapumzishwi. Yeye na wigi lake kichwani basi tu.
 
Back
Top Bottom