Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
Fanya kazi kenge wewe, maneno na vitendo ni tofauti sanaSijui ana Gundu au anamshauri vibaya Raisi au anamdanyanya ukute[emoji1]
alipoingia alisema wanainginza data kwenye mfumo mpya wa HCMIS ili walipe! ishapita mwaka sasa watu wanadai malimbikizo muda mrefu!
Je mambo ya mwendazake kudharau madai halali yanaendelea?
Je jenista haona kuwa watu wanateseka na madai yao au anapuuzia! au ana gundu atolewe hapo!?
Yaan anadunda tu na ka Diploma kake!
Mohamed Mchengerwa arudi hapa Jenista aende kwa MchengerwaSijui ana Gundu au anamshauri vibaya Raisi au anamdanyanya ukute😄
alipoingia alisema wanainginza data kwenye mfumo mpya wa HCMIS ili walipe! ishapita mwaka sasa watu wanadai malimbikizo muda mrefu!
Je mambo ya mwendazake kudharau madai halali yanaendelea?
Je jenista haona kuwa watu wanateseka na madai yao au anapuuzia! au ana gundu atolewe hapo!?
Yaan anadunda tu na ka Diploma kake!
Hata zile porojo zao za kuwalipa Wenye vyeti feki akishirikiana na Ndalichako umezisikia tena ?Sijui ana Gundu au anamshauri vibaya Raisi au anamdanyanya ukute[emoji1]
alipoingia alisema wanainginza data kwenye mfumo mpya wa HCMIS ili walipe! ishapita mwaka sasa watu wanadai malimbikizo muda mrefu!
Je mambo ya mwendazake kudharau madai halali yanaendelea?
Je jenista haona kuwa watu wanateseka na madai yao au anapuuzia! au ana gundu atolewe hapo!?
Yaan anadunda tu na ka Diploma kake!
Mchengerwa ndio hamna kitu kabisa yaani !Mohamed Mchengerwa arudi hapa Jenista aende kwa Mchengerwa
Watoto wako wanafundishwa na nani we Fala?Fanya kazi kenge wewe, maneno na vitendo ni tofauti sana
Mbona tunasikia Vyeti fake wamelipwa tunasikia Watumishi waliokuwa wanadai Mslimbikizo wote wamejazwa Manoti huku MAMA AKIUPIGA MWINGI SANASijui ana Gundu au anamshauri vibaya Raisi au anamdanyanya ukute[emoji1]
alipoingia alisema wanainginza data kwenye mfumo mpya wa HCMIS ili walipe! ishapita mwaka sasa watu wanadai malimbikizo muda mrefu!
Je mambo ya mwendazake kudharau madai halali yanaendelea?
Je jenista haona kuwa watu wanateseka na madai yao au anapuuzia! au ana gundu atolewe hapo!?
Yaan anadunda tu na ka Diploma kake!
Yaani kama kuna kundi la wadai wa serikali ambao hawasikilizwi ni watumishi wa umma.Halafu watumishi wa umma wa Tanzania ni kundi linaoongozwa kunyonywa na vyama vyao vya wafanyakazi.unajua vyama vya wafanyakazi vya bongo ni mkono wa kushoto wa serikali.Hakuna wanachoweza kufanya ilinkusikilizwa,labda iwe jirani na uchaguzi.Halafu,nadhani pia kuna Systemic failure, yaani set up ya uongozi.eti Raisi wa chama cha wafanyakazi yuko kwenye payrol ya serikali,halafu unataka aipigie makelele serikali inayompa salary wakati kwenye chama anapokea posho tuu.Sijui ana Gundu au anamshauri vibaya Raisi au anamdanyanya ukute😄
alipoingia alisema wanainginza data kwenye mfumo mpya wa HCMIS ili walipe! ishapita mwaka sasa watu wanadai malimbikizo muda mrefu!
Je mambo ya mwendazake kudharau madai halali yanaendelea?
Je jenista haona kuwa watu wanateseka na madai yao au anapuuzia! au ana gundu atolewe hapo!?
Yaan anadunda tu na ka Diploma kake!
Mchengerwa ni mtendaji na mfatialiaji.Mchengerwa ndio hamna kitu kabisa yaani !
Tusichokijua:[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Sijui ana Gundu au anamshauri vibaya Raisi au anamdanyanya ukute[emoji1]