Tokea Jenista Mhagama apewe Wizara ya Utumishi hakuna aliyelipwa malimbikizo

Huyo mama sijui hata huo uwaziri huea anaupata kwa sifa ipi
 
Mbona tunasikia Vyeti fake wamelipwa tunasikia Watumishi waliokuwa wanadai Mslimbikizo wote wamejazwa Manoti huku MAMA AKIUPIGA MWINGI SANA
Sio kweli kwa mwaka huu wa fedha hakuna aliyelipwa labda vigogo huko juu zimejaa propaganda za kusema kusema tumelipa madai au tunaendelea na uhakiki . Sisiyemu lipeni malimbikizo ya watu ili kuongeza ufanisi katika kuutumikia umma wa watanzania.Utendaji kazi sekta za umma uko chini sana tofauti na mnachoambiwa na watoa taarifa wenu wasiotaka kuwaambia reality
 
wizara hii angekaa mtu ambaye hacheki na wafanyakazi wa hapo! ukiwa mtu wa kuchekacheka kazi haziendi! utumishi kuna watu wanafanya kazi kwa mazoea
 
Huyo mama sijui ana dawa gani kila Rais huwa anampeleka utumishi kwenda kuharibu
 
Una uhakika hakuna watu wanaomzunguka ili wewe udhani kuwa ni yeye?
 
Kama Mwigulu ajamtengea hizo hela, utamtukana bure huyo Jenista au unadhani anamlaka ya kumwamuru waziri wa fedha atoe hayo malipo.
 
Kama Mwigulu ajamtengea hizo hela, utamtukana bure huyo Jenista au unadhani anamlaka ya kumwamuru waziri wa fedha atoe hayo malipo.
sasa wanapomruhusu Rais aongee hadharan kuwa mwez flan tunalipa madeni ya watumishi halafu anakausha hatekelezi ahadi je anayemwaibisha si Rais?

kama hakuna ni bora waseme hakuna! kuliko kujitapa halafu hakuna kitu
 
Huyu mama huwa hafai hata nukta moja since enzi za Magufuli, nashangaa kwanini huwa yumo ofisini mpaka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…