comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Baada ya kuona maisha ya kuishi kwa chuki na kuwachukia ccm na viongozi hayana tija, tangu nianze kuunga mkono juhudi za chama cha ccm nimekua mtu wa amani sana, hata sura imezidi kua na Nuru, kumbe kua na chuki na viongozi bila sababu ni sumu mbaya sana.
Sikilizeni vijana, acheni kufuata mkumbo, kumchukia raisi au kiongozi yoyote yule hakutafanya maisha Yako yawe mepesi, chukua uamuzi sahihi wa kuja kuunga mkono juhudi za mtukufu raisi wetu Samia, nyie hamuoni Raha mkipita leo buguruni hamna mabanda kumependeza kumekua kama marekani? Hamuoni sgr na miundombinu mingine? Acheni hizo wakuu.
Najua nyiee ni wabishi na ni kundi la wajinga wafuata mkumbo, mnachojua ni kubishania simba na yanga na vitu vya kipumbavu, hata mkinitukana haitasaidia kitu huo ndio ukweli.
Ccm itaendelea kutawala Tanzania mpaka mwisho wa Dunia, na ndio kitabaki kua chama kongwe katika Africa na Dunia nzima kwa ujumla.