Tokea nichukue maamuzi haya, kwa sasa Nina amani sana na utulivu

Chawa mpya in town.

Cc Jack Daniel.
Kaka, samahani Mimi siyo chawa ,nimezaliwa miaka Hamsini na ushee iliyopita, nimezaliwa kwenye familia ya CCM,Baba yangu ni CCM damu,mama yangu ni CCM.

Si kila jambo linalofanywa na mwanachama wa CCM nalikubali hata kama linakiuka Sheria hapana. Bali ni kama tunapaswa kusimama imara kuhakikisha CCM inakuwa imara na yenye maadili tofauti na jana.

Haya ni makundi ya kigaidi yanayofanywa na wanaojiita waislamu

Al Shabab,
Al Mudhish
Al Qaida
Islamic State

Na makundi mengine mengi,lakini muisilamu hawezi kuhama dini yake kisa haya makundi yanaonea wengine,Bali atatumia muda huo kuwaelimisha watu kuhusu uislam na maadili ya kiislamu kuhusu upendo,huruma na kusudi la kuishi Duniani.

Haki huinua Taifa ,naifahamu CCM zamani siyo leo
 
Hongera sana Mzee kwa kulelewa kwenye familia ya Wana ccm, hiyo ni bahati kubwa mno.
 
huna haja ya kumchukia mtu aliyekuomba uongozi aje akupe maendeleo kwa kodi zako na mikopo utakayolipa...
kwanini uwachukie watu waliokuta mfumo wa kukunyonya... siyo kosa lao..
mfumo ulishawekwa wa watu wasiyo na mipango wala plan za kipato cha nchi nje ya kodi yako na mikopo itakayolipwa mpaka na kizazi chako....
hakuna mwanasiasa wa kukupa maendeleo, maana unachokiita au wao kukuhubiria ni maendeleo kwa mwanasiasa ni dili...
watu wapambane na hali zao,,
 
Kaka, samahani Mimi siyo chawa ,nimezaliwa miaka Hamsini na ushee iliyopita, nimezaliwa kwenye familia ya CCM,Baba yangu ni CCM damu,mama yangu ni CCM.

Si kila jambo linalofanywa na mwanachama wa CCM nalikubali hata kama linakiuka Sheria hapana. Bali ni kama tunapaswa kusimama imara kuhakikisha CCM inakuwa imara na yenye maadili tofauti na jana.

Haya ni makundi ya kigaidi yanayofanywa na wanaojiita waislamu

Al Shabab,
Al Mudhish
Al Qaida
Islamic State

Na makundi mengine mengi,lakini muisilamu hawezi kuhama dini yake kisa haya makundi yanaonea wengine,Bali atatumia muda huo kuwaelimisha watu kuhusu uislam na maadili ya kiislamu kuhusu upendo,huruma na kusudi la kuishi Duniani.

Haki huinua Taifa ,naifahamu CCM zamani siyo leo
Samahani mkuu, nilikusidia kumtag mwanaCHADEMA Carlos The Jackal. Huwa nawachanganya wakati mwingine.
 
Na yale maziwa kama ya ng’ombe aliyezaa, lazima apate nuru
Baada ya kubishana mambo ya simba na yanga, mnachojua kingine ni mambo ya miziki na kuchoma vituo vya mafuta na kutukana viongozi, ndio mana nikahama huo upande
 
Baada ya kuona maisha ya kuishi kwa chuki na kuwachukia ccm na viongozi hayana tija, tangu nianze kuunga mkono juhudi za chama cha ccm nimekua mtu wa amani sana, hata sura imezidi kua na Nuru, kumbe kua na chuki na viongozi bila sababu ni sumu mbaya sana.

Sikilizeni vijana, acheni kufuata mkumbo, kumchukia raisi au kiongozi yoyote yule hakutafanya maisha Yako yawe mepesi, chukua uamuzi sahihi wa kuja kuunga mkono juhudi za mtukufu raisi wetu Samia, nyie hamuoni Raha mkipita leo buguruni hamna mabanda kumependeza kumekua kama marekani? Hamuoni sgr na miundombinu mingine? Acheni hizo wakuu.

Najua nyiee ni wabishi na ni kundi la wajinga wafuata mkumbo, mnachojua ni kubishania simba na yanga na vitu vya kipumbavu, hata mkinitukana haitasaidhuhudia ...nia kitu huo ndio ukweli.

Ccm itaendelea kutawala Tanzania mpaka mwisho wa Dunia, na ndio kitabaki kua chama kongwe katika Africa na Dunia nzima kwa ujumla.
Hiyo kanuni uliyo tumia ni sahihi kwa hayo matokeo uliyo yaeleza na kuyaona na kuyashuhudia ..ndiyo hata mashoga walivyo tumia hiyo kanuni na kujisalimisha kwenye ushoga...nao watakuambia kuwa toka waachane na kulinda migongo sasa wamekuwa na amani na furaha.😁
 
Tukaneni ndio mnachojua
 
Tukaneni ndio mnachojua
Tusi vp ...hiyo mbona ni elimu sahihi .mimi nilikuwa naelezea tu ..au unabisha kuwa kwa kachoko sivyo ..waulize machoko wote warakuambia hivyo kama ulivyo sema wewe ...yaani toka wajikubali kuishi maisha ya ushoga wamekuwa na nuru usoni na furaha
 
Baada ya kuona maisha ya kuishi kwa chuki na kuwachukia ccm na viongozi hayana tija, tangu nianze kuunga mkono juhudi za chama cha ccm nimekua mtu wa amani sana, hata sura imezidi kua na Nuru, kumbe kua na chuki na viongozi bila sababu ni sumu mbaya sana.

Sikilizeni vijana, acheni kufuata mkumbo, kumchukia raisi au kiongozi yoyote yule hakutafanya maisha Yako yawe mepesi, chukua uamuzi sahihi wa kuja kuunga mkono juhudi za mtukufu raisi wetu Samia, nyie hamuoni Raha mkipita leo buguruni hamna mabanda kumependeza kumekua kama marekani? Hamuoni sgr na miundombinu mingine? Acheni hizo wakuu.

Najua nyiee ni wabishi na ni kundi la wajinga wafuata mkumbo, mnachojua ni kubishania simba na yanga na vitu vya kipumbavu, hata mkinitukana haitasaidia kitu huo ndio ukweli.

Ccm itaendelea kutawala Tanzania mpaka mwisho wa Dunia, na ndio kitabaki kua chama kongwe katika Africa na Dunia nzima kwa ujumla.
Wewe jamaa ndio mrithi wa Lucas Mwashambwa Jf
 
Hiyo ndio demokrasia yenyewe,
Unaweza kukuta kuna mtu hua anapigania demokrasia na uhuru wa kutoa maoni ila hapo hapo anamtukana mleta mada kwa kuitumia demokrasia yake!

Demokrasia ni pamoja na kuheshimu na kulinda uhuru wa mtu binafsi ikiwa ni pamoja na uhuru wa kutoa maoni,kuongea na kuabudu,

Haijalishi mtu anapenda chama gani,ila huo ni uamuzi wake na utashi wake,nafikiri kila mtu anatakiwa aheshimu maamuzi ya mtu,ndio demokrasia yenyewe,

Au nakosea ndugu wananchi?
 
Back
Top Bottom