comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Sawa maneno yako yanasadifu jina lako mheshimiwa kipepe.Baada ya kuona maisha ya kuishi kwa chuki na kuwachukia ccm na viongozi hayana tija, tangu nianze kuunga mkono juhudi za chama cha ccm nimekua mtu wa amani sana, hata sura imezidi kua na Nuru, kumbe kua na chuki na viongozi bila sababu ni sumu mbaya sana.
Sikilizeni vijana, acheni kufuata mkumbo, kumchukia raisi au kiongozi yoyote yule hakutafanya maisha Yako yawe mepesi, chukua uamuzi sahihi wa kuja kuunga mkono juhudi za mtukufu raisi wetu Samia, nyie hamuoni Raha mkipita leo buguruni hamna mabanda kumependeza kumekua kama marekani? Hamuoni sgr na miundombinu mingine? Acheni hizo wakuu.
Najua nyiee ni wabishi na ni kundi la wajinga wafuata mkumbo, mnachojua ni kubishania simba na yanga na vitu vya kipumbavu, hata mkinitukana haitasaidia kitu huo ndio ukweli.
Ccm itaendelea kutawala Tanzania mpaka mwisho wa Dunia, na ndio kitabaki kua chama kongwe katika Africa na Dunia nzima kwa ujumla.
uko sahihi 100% gentlemanBaada ya kuona maisha ya kuishi kwa chuki na kuwachukia ccm na viongozi hayana tija, tangu nianze kuunga mkono juhudi za chama cha ccm nimekua mtu wa amani sana, hata sura imezidi kua na Nuru, kumbe kua na chuki na viongozi bila sababu ni sumu mbaya sana.
Sikilizeni vijana, acheni kufuata mkumbo, kumchukia raisi au kiongozi yoyote yule hakutafanya maisha Yako yawe mepesi, chukua uamuzi sahihi wa kuja kuunga mkono juhudi za mtukufu raisi wetu Samia, nyie hamuoni Raha mkipita leo buguruni hamna mabanda kumependeza kumekua kama marekani? Hamuoni sgr na miundombinu mingine? Acheni hizo wakuu.
Najua nyiee ni wabishi na ni kundi la wajinga wafuata mkumbo, mnachojua ni kubishania simba na yanga na vitu vya kipumbavu, hata mkinitukana haitasaidia kitu huo ndio ukweli.
Ccm itaendelea kutawala Tanzania mpaka mwisho wa Dunia, na ndio kitabaki kua chama kongwe katika Africa na Dunia nzima kwa ujumla.
Ccm tupo imaraSawa maneno yako yanasadifu jina lako mheshimiwa kipepe.
Huo upumbavu wenu kila mtu akiongea msimamo wake mnamuita chawa
Kabisa mkuuAdui akikushinda nguvu ungana naye
Ndio maana nikahama huko kwenye kundi la wajinga nikahamia kwa wenye akiliWeka humu 🗑️
Sawa KIPEPECcm tupo imara
Unaweza kuwa na amani, sura yenye nuru, akili hata bila kujihusisha na chama chcht kileNdio maana nikahama huko kwenye kundi la wajinga nikahamia kwa wenye akili
Linda amani mkuu, huku ukiendelea kuneemeka na uongozi jadidi wa raisi wetu Samia.Sawa KIPEPE
Mimi nimechagua upande wa wenye akili sio dhambiUnaweza kuwa na amani, sura yenye nuru, akili hata bila kujihusisha na chama chcht kile
Mbona unamlaba lamba Maza sasa!Huo upumbavu wenu kila mtu akiongea msimamo wake mnamuita chawa
Unajidai humpendi ila vitu vyake unapenda, Mimi nimeamua niache unafikiMbona unamlaba lamba Maza sasa!
Dogo analamba lamba maziwa (manyonyo) ya maza ndiyo maana ana nuru.Weka humu 🗑️
Vitu vyake vipi?Unajidai humpendi ila vitu vyake unapenda, Mimi nimeamua niache unafiki
Sawa mheshimiwa KIPEPELinda amani mkuu, huku ukiendelea kuneemeka na uongozi jadidi wa raisi wetu Samia.