comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
- Thread starter
-
- #21
Baada ya kubishana simba na yanga na mambo ya umisi ni kutukana tu viongozi, ndio maana nikahama kwenye kundi la wajinga nikajiunga na watu wenye akili nyingiDogo analamba lamba maziwa (manyonyo) ya maza ndiyo maana ana nuru.
Kaka, samahani Mimi siyo chawa ,nimezaliwa miaka Hamsini na ushee iliyopita, nimezaliwa kwenye familia ya CCM,Baba yangu ni CCM damu,mama yangu ni CCM.
Hongera sana Mzee kwa kulelewa kwenye familia ya Wana ccm, hiyo ni bahati kubwa mno.Kaka, samahani Mimi siyo chawa ,nimezaliwa miaka Hamsini na ushee iliyopita, nimezaliwa kwenye familia ya CCM,Baba yangu ni CCM damu,mama yangu ni CCM.
Si kila jambo linalofanywa na mwanachama wa CCM nalikubali hata kama linakiuka Sheria hapana. Bali ni kama tunapaswa kusimama imara kuhakikisha CCM inakuwa imara na yenye maadili tofauti na jana.
Haya ni makundi ya kigaidi yanayofanywa na wanaojiita waislamu
Al Shabab,
Al Mudhish
Al Qaida
Islamic State
Na makundi mengine mengi,lakini muisilamu hawezi kuhama dini yake kisa haya makundi yanaonea wengine,Bali atatumia muda huo kuwaelimisha watu kuhusu uislam na maadili ya kiislamu kuhusu upendo,huruma na kusudi la kuishi Duniani.
Haki huinua Taifa ,naifahamu CCM zamani siyo leo
Samahani mkuu, nilikusidia kumtag mwanaCHADEMA Carlos The Jackal. Huwa nawachanganya wakati mwingine.Kaka, samahani Mimi siyo chawa ,nimezaliwa miaka Hamsini na ushee iliyopita, nimezaliwa kwenye familia ya CCM,Baba yangu ni CCM damu,mama yangu ni CCM.
Si kila jambo linalofanywa na mwanachama wa CCM nalikubali hata kama linakiuka Sheria hapana. Bali ni kama tunapaswa kusimama imara kuhakikisha CCM inakuwa imara na yenye maadili tofauti na jana.
Haya ni makundi ya kigaidi yanayofanywa na wanaojiita waislamu
Al Shabab,
Al Mudhish
Al Qaida
Islamic State
Na makundi mengine mengi,lakini muisilamu hawezi kuhama dini yake kisa haya makundi yanaonea wengine,Bali atatumia muda huo kuwaelimisha watu kuhusu uislam na maadili ya kiislamu kuhusu upendo,huruma na kusudi la kuishi Duniani.
Haki huinua Taifa ,naifahamu CCM zamani siyo leo
Sawa sawa!Baada ya kubishana simba na yanga na mambo ya umisi ni kutukana tu viongozi, ndio maana nikahama kwenye kundi la wajinga nikajiunga na watu wenye akili nyingi
PoapoaSamahani mkuu, nilikusidia kumtag mwanaCHADEMA Carlos The Jackal. Huwa nawachanganya wakati mwingine.
😁😁😁Samahani mkuu, nilikusidia kumtag mwanaCHADEMA Carlos The Jackal. Huwa nawachanganya wakati mwingine.
Wenye dhambi n wapMimi nimechagua upande wa wenye akili sio dhambi
Na yale maziwa kama ya ng’ombe aliyezaa, lazima apate nuruDogo analamba lamba maziwa (manyonyo) ya maza ndiyo maana ana nuru.
Wenye dhambi ni nyieWenye dhambi n wap
Baada ya kubishana mambo ya simba na yanga, mnachojua kingine ni mambo ya miziki na kuchoma vituo vya mafuta na kutukana viongozi, ndio mana nikahama huo upandeNa yale maziwa kama ya ng’ombe aliyezaa, lazima apate nuru
Hiyo kanuni uliyo tumia ni sahihi kwa hayo matokeo uliyo yaeleza na kuyaona na kuyashuhudia ..ndiyo hata mashoga walivyo tumia hiyo kanuni na kujisalimisha kwenye ushoga...nao watakuambia kuwa toka waachane na kulinda migongo sasa wamekuwa na amani na furaha.😁Baada ya kuona maisha ya kuishi kwa chuki na kuwachukia ccm na viongozi hayana tija, tangu nianze kuunga mkono juhudi za chama cha ccm nimekua mtu wa amani sana, hata sura imezidi kua na Nuru, kumbe kua na chuki na viongozi bila sababu ni sumu mbaya sana.
Sikilizeni vijana, acheni kufuata mkumbo, kumchukia raisi au kiongozi yoyote yule hakutafanya maisha Yako yawe mepesi, chukua uamuzi sahihi wa kuja kuunga mkono juhudi za mtukufu raisi wetu Samia, nyie hamuoni Raha mkipita leo buguruni hamna mabanda kumependeza kumekua kama marekani? Hamuoni sgr na miundombinu mingine? Acheni hizo wakuu.
Najua nyiee ni wabishi na ni kundi la wajinga wafuata mkumbo, mnachojua ni kubishania simba na yanga na vitu vya kipumbavu, hata mkinitukana haitasaidhuhudia ...nia kitu huo ndio ukweli.
Ccm itaendelea kutawala Tanzania mpaka mwisho wa Dunia, na ndio kitabaki kua chama kongwe katika Africa na Dunia nzima kwa ujumla.
Tukaneni ndio mnachojuaHiyo kanuni uliyo tumia ni sahihi kwa hayo matokeo uliyo yaeleza na kuyaona na kuyashuhudia ..ndiyo hata mashoga walivyo tumia hiyo kanuni na kujisalimisha kwenye ushoga...nao watakuambia kuwa toka waachane na kulinda migongo sasa wamekuwa na amani na furaha.😁
Tusi vp ...hiyo mbona ni elimu sahihi .mimi nilikuwa naelezea tu ..au unabisha kuwa kwa kachoko sivyo ..waulize machoko wote warakuambia hivyo kama ulivyo sema wewe ...yaani toka wajikubali kuishi maisha ya ushoga wamekuwa na nuru usoni na furahaTukaneni ndio mnachojua
Wewe jamaa ndio mrithi wa Lucas Mwashambwa JfBaada ya kuona maisha ya kuishi kwa chuki na kuwachukia ccm na viongozi hayana tija, tangu nianze kuunga mkono juhudi za chama cha ccm nimekua mtu wa amani sana, hata sura imezidi kua na Nuru, kumbe kua na chuki na viongozi bila sababu ni sumu mbaya sana.
Sikilizeni vijana, acheni kufuata mkumbo, kumchukia raisi au kiongozi yoyote yule hakutafanya maisha Yako yawe mepesi, chukua uamuzi sahihi wa kuja kuunga mkono juhudi za mtukufu raisi wetu Samia, nyie hamuoni Raha mkipita leo buguruni hamna mabanda kumependeza kumekua kama marekani? Hamuoni sgr na miundombinu mingine? Acheni hizo wakuu.
Najua nyiee ni wabishi na ni kundi la wajinga wafuata mkumbo, mnachojua ni kubishania simba na yanga na vitu vya kipumbavu, hata mkinitukana haitasaidia kitu huo ndio ukweli.
Ccm itaendelea kutawala Tanzania mpaka mwisho wa Dunia, na ndio kitabaki kua chama kongwe katika Africa na Dunia nzima kwa ujumla.
Mimi hao hata siwajui wala sihitaji kuhusishwa nao, Mimi naongelea msimamo wanguWewe jamaa ndio mrithi wa Lucas Mwashambwa Jf
Ukahama upande upi huoBaada ya kubishana mambo ya simba na yanga, mnachojua kingine ni mambo ya miziki na kuchoma vituo vya mafuta na kutukana viongozi, ndio mana nikahama huo upande