Tone Tone ya Chadema yatikisa Nchi, Spidi ya Michango inatisha

Kila wakati mnapoleta habari kama hizi tafadhali muwe mnaweka na jinsi ya kuchangia. Ili Kila mtu ajue namna ya kuchangia.
 
Propaganda zitafifisha michango,

Wacha michango iendelee,

Muhimu kuhamasisha michango, sio kutuonyesha umepokea nyingi ilhali Si Kweli.
 
Huko Washington DC kampeni ya Tone Tone inaongozwa na Mbunge wa Mbarali Liberatus Mwang'ombe.
Sijaelewa hapa. Kwani chadema Ina mbunge mwingine zaidi ya yule wa Nkasi? Au huyu ni aliyekuwa mbunge wa Mbarali?

Anyway! Yote kwa yote ccm imechokwa na huyu mzanzibari mwanamke hakubaliki kabisa.
 
Sijaelewa hapa. Kwani chadema Ina mbunge mwingine zaidi ya yule wa Nkasi? Au huyu ni aliyekuwa mbunge wa Mbarali?

Anyway! Yote kwa yote ccm imechokwa na huyu mzanzibari mwanamke hakubaliki kabisa.
Alidhulumiwa tu ubunge
 
Reactions: G4N
CCM ndio tumaini la watanzaniaView attachment 3254392

Hakuna chama tena sasa chama ni cha Polisi na usalama. Wengine ni mapambo tu yaani ni kama maua ya bandia.

Uzuri Mungu atapitisha fagio lingine sio kwa wote lakini kwa wale walio himiza kunyima haki na wezi na wonevu wa chaguzi kuna panga la Mungu linakuja na kujiepusha tenda haki bila kujali chama bila hivyo wengi tutawasahau na watakuwa wenda zake soon. Narudia sio wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…