Tongue Rings, Hot or Not

Tongue Rings, Hot or Not

Sasa nimekupata nilidhani umeweka kule kunako nanihii, ila kule nasikia vina kazi sana. Nilisoma mahali mdada ambaye anacho alikuwa akitoa somo kwa wenzie kwamba yeye hujitahidi kukichomoa kile kidubwasha mara tatu kila wiki ili kukifanyia usafi kisha kukirudisha, vinginevyo kinaweza kuwa chanzo cha infection. Halafu kinapowekwa mara ya kwanza hushauriwa kutogawa papuchi kwa kati ya siku nne hadi wiki ili kuhakikisha pale mahali kidubwasha kilipopita pamepona kabisa. Ukitaka uzuri shurti udhurike.

BAK ukinywa maji baridi au uki chew ice si kinakuwa cha baridi?, au...[emoji85]
 
Kwamwanamke linaweza likawa pambo, ila kwamwanaume ni sawa nakutoboa pua au kuvaa elini...!
##ni dalili ya ushoga##

##Alaf its untrue to say, the tongue will return to normal after removing the ring##
 
Wakati mwingine inatokea spontaneously na sio kwa kupanga. Kwa mfano wangu imetokea over the years, one piercing at a time, it wasn't all of them at one time, so it wasn't too bad.
Kwa Mwendo Huo Ukifikisha Miaka 50 Utakuwa Umejitoboa Mwili Mzima
 
  • Thanks
Reactions: kui
Sasa nimekupata nilidhani umeweka kule kunako nanihii, ila kule nasikia vina kazi sana. Nilisoma mahali mdada ambaye anacho alikuwa akitoa somo kwa wenzie kwamba yeye hujitahidi kukichomoa kile kidubwasha mara tatu kila wiki ili kukifanyia usafi kisha kukirudisha, vinginevyo kinaweza kuwa chanzo cha infection. Halafu kinapowekwa mara ya kwanza hushauriwa kutogawa papuchi kwa kati ya siku nne hadi wiki ili kuhakikisha pale mahali kidubwasha kilipopita pamepona kabisa. Ukitaka uzuri shurti udhurike.

Ouch!, oh gosh kudhurika kwa hivi mbona kazi!, huko kunako kunahitaji extra care. Ni rahisi zaidi kupata infection.
Kwanza process yenyewe tu ya kukiweka huko inabidi ujitoe haswa...lol

Nilionywa ya kwenye kitovu kuwa usiopokuwa makini kama umevaa suruali, zip inaweza ku stuck kwenye kipini cha kitovu halafu wakati unaishusha ikashuka na kitovu. So someone has to be very careful.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mie nawasifu wale wanaotoboa machoni na kati kati ya pua pale tundu za pua zinapotenganishwa. Hawa hata kuwaangalia usoni huwa sipendi kusema kweli lol. Hivyo vya kwenye papuchi walioviweka wanavisifia sana kwamba huwapa raha sana wanapotembea na mara nyingi hufikia orgasm.

Ouch!, oh gosh kudhurika kwa hivi mbona kazi!, huko kunako kunahitaji extra care. Ni rahisi zaidi kupata infection.
Kwanza process yenyewe tu ya kukiweka huko inabidi ujitoe haswa...lol

Nilionywa ya kwenye kitovu kuwa usiopokuwa makini kama umevaa suruali, zip inaweza ku stuck kwenye kipini cha kitovu halafu wakati unaishusha ikashuka na kitovu. So someone has to be very careful.
 
Haya funguka Kui, kwenye ulimi, kitovuni, machoni viwili, kati kati ya pua tayari vidubwasha vinne hivyo. Funguka kuhusu location ya vitano vilivyobaki ila najua kuna sehemu viko viwili lol!!!

Hahaaa!, Emmanuel nilisha acha bwana, I stopped at my 9th.
 
Kwamwanamke linaweza likawa pambo, ila kwamwanaume ni sawa nakutoboa pua au kuvaa elini...!
##ni dalili ya ushoga##

##Alaf its untrue to say, the tongue will return to normal after removing the ring##

Hereni dalili za ushoga? mbona imekuwa kawaida sasa na wengine wanaovaa si mashoga na wala hawana dalili. I know for straight guys wanaweka hereni on the left ear not right. As they put it, left is right, right is wrong.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom