Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Hii kesi sijui utamtumia wakili gani wallah...Weee babu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kesi sijui utamtumia wakili gani wallah...Weee babu
NakufwaaazHii kesi sijui utamtumia wakili gani wallah...
Ukikufa tuyakufwa zote wallah. Mi haezi ishi bila ya weye...Nakufwaaaz
Basi bora tufwariki tu woteUkikufa tuyakufwa zote wallah. Mi haezi ishi bila ya weye...
Utaanza wewe afu mi namalizaBasi bora tufwariki tu wote
BAK ukinywa maji baridi au uki chew ice si kinakuwa cha baridi?, au...[emoji85]
Kwa Mwendo Huo Ukifikisha Miaka 50 Utakuwa Umejitoboa Mwili MzimaWakati mwingine inatokea spontaneously na sio kwa kupanga. Kwa mfano wangu imetokea over the years, one piercing at a time, it wasn't all of them at one time, so it wasn't too bad.
Sasa nimekupata nilidhani umeweka kule kunako nanihii, ila kule nasikia vina kazi sana. Nilisoma mahali mdada ambaye anacho alikuwa akitoa somo kwa wenzie kwamba yeye hujitahidi kukichomoa kile kidubwasha mara tatu kila wiki ili kukifanyia usafi kisha kukirudisha, vinginevyo kinaweza kuwa chanzo cha infection. Halafu kinapowekwa mara ya kwanza hushauriwa kutogawa papuchi kwa kati ya siku nne hadi wiki ili kuhakikisha pale mahali kidubwasha kilipopita pamepona kabisa. Ukitaka uzuri shurti udhurike.
Ouch!, oh gosh kudhurika kwa hivi mbona kazi!, huko kunako kunahitaji extra care. Ni rahisi zaidi kupata infection.
Kwanza process yenyewe tu ya kukiweka huko inabidi ujitoe haswa...lol
Nilionywa ya kwenye kitovu kuwa usiopokuwa makini kama umevaa suruali, zip inaweza ku stuck kwenye kipini cha kitovu halafu wakati unaishusha ikashuka na kitovu. So someone has to be very careful.
Hahaaa!, Emmanuel nilisha acha bwana, I stopped at my 9th.
Hahaaa!, Emmanuel nilisha acha bwana, I stopped at my 9th.
Nini BAK, am no longer bad!...😀
Kwamwanamke linaweza likawa pambo, ila kwamwanaume ni sawa nakutoboa pua au kuvaa elini...!
##ni dalili ya ushoga##
##Alaf its untrue to say, the tongue will return to normal after removing the ring##