Tony Blair amefuata nini Tanzania?

Tony Blair amefuata nini Tanzania?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Rais_wa_Jamhuri_ya_Muungano_wa_Tanzania_Mhe._Samia_Suluhu_Hassan%2C_akiagana__na_Waziri_Mkuu_M...jpg

Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu, tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka.

Swali ni hili, Amefuata nini?
 
Amekuja kumkumbusha mama utawala bora wa sheria na haki za binadamu na aache kuwaogopa wanaomzunguka.

Hakika Mwamba yuko mbioni kurudi uraiani ili kuendeleza harakati za katiba mpya kuelekea Tanzania mpya.
 
Usikute amekuja kugawa mbegu😂😂😂
 
Mshauri wa PK,connect the dot
Ile biashara kati ya Jiwe na PK ya madini nahisi huyo Muuaji Blea ndiye anayeongooza mchongo mzima. Nasikia kuna mpunga mrefu PK alimzima Jiwe na hataki uguswe wakati madini ni yetu.
Nahisi huyo muuaji kaja kusuluhisha pande mbili ili dili za kukomba madini ziendelee
 
Back
Top Bottom