Tony Blair amefuata nini Tanzania?

Tony Blair amefuata nini Tanzania?

View attachment 1957478

Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu , tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka .

Swali ni hili , Amefuata nini ?
Wenye kujua hatari ya mabeberu hatufurahi kumuona tonny blaire kujakuja kwa samia. Huyu ni dalali tu tutauziwa huduma wala hatuhitaji.
 
Wakati wa JK, George Bushi alikua hapotei bongo, kuna alichofuata
 
Amekuja kumkumbusha mama utawala bora wa sheria na haki za binadamu na aache kuwaogopa wanaomzunguka.

Hakika Mwamba yuko mbioni kurudi uraiani ili kuendeleza harakati za katiba mpya kuelekea Tanzania mpya.
Mkuu mwamba asirudi hadi ushahidi wote utolewe
 
Wacheni amfundishe utawala bora bila kubambika
Tont Blair mwenyewe ndio mtaalamu wa kubambikia watu kesi, alimbambikia Saddam Hussein kuwa ana silaha za maangamizi
SmartSelect_20210929-211744_Chrome.jpg
 
Amekuja kumkumbusha mama utawala bora wa sheria na haki za binadamu na aache kuwaogopa wanaomzunguka.

Hakika Mwamba yuko mbioni kurudi uraiani ili kuendeleza harakati za katiba mpya kuelekea Tanzania mpya.

Blair ni mfanyabiashara mkubwa sana na negotiator nzuri tu
Alitengeneza $1m kwa saa kisa kukaa meza moja kufunga biashara na Sheik mmoja wa Gulf huko

Kampuni yake moja iliwaongeza mishahara wafanyakazi wake pay rise ya £30,000

Wastaafu wote huwa wana connection kubwa sana duniani
Imagine Majaliwa angekuwa kila wakati anatoka nje ya nchi na kukutana na wafanyabiashara wakubwa angetengeneza ajira ngapi na yeye akistaafu atakuwa na makampuni mangapi

Huo ndio ukweli Blair anakuja kuangalia fursa alizonusa au kuongea na Mama
 
Ile biashara kati ya Jiwe na PK ya madini nahisi huyo Muuaji Blea ndiye anayeongooza mchongo mzima. Nasikia kuna mpunga mrefu PK alimzima Jiwe na hataki uguswe wakati madini ni yetu.
Nahisi huyo muuaji kaja kusuluhisha pande mbili ili dili za kukomba madini ziendelee
Nahisi hizi stori za mtaani kama ile ya JK kumzima PK madini yaliyokuwa yanapitia hapa kutoka kongo nakama nikweli basi PK alikuwa anrudisha favor kwa TZ
 
Back
Top Bottom