mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Huyu jamaa ni dalali wa ibilisi!! Amekuja kuweka shinikizo kwa mama kuhusu corona!! Hana agenda zaidi ya hiyo ! Ni wakala mku wa wa ibilisi!! Hafai!! Mama mtolee nje huyo, atakuponza! Usimsikilize!! Tuweke sheria: Ni marufuku mzungu aliyewahi kuvaa barakoa kuingia ikilu yetu !View attachment 1957478
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu , tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka .
Swali ni hili , Amefuata nini ?