Tony Blair amefuata nini Tanzania?

Tony Blair amefuata nini Tanzania?

Demokrasia yetu ipo hali jojo mno, huenda katumwa na Boris kuongea na mama kwa undani tatizo ni nini hasa? mkumbuke waingeleza ndiyo waliomkabidhi nchi hii Mwalimu miaka ya 60.
 
View attachment 1957478

Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu , tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka .

Swali ni hili , Amefuata nini ?
Do not worry though this is a second time in less that 2 months as he was in Tz on 22/7/22021 (Tanzania’s President Samia meets former UK PM Tony Blair in Dar)
I think he has good things to offer though the Tony Blair Institute for Global Change whose work among others is Monitoring Development Project Funds.
He reminds me of the BAE Systems issue back in time
(BBC NEWS | UK | Blair blasted over Tanzania deal)
 
Huyu ndiye alisema hawezi kupoteza ajira za watu wake 200 hata kama watanzania watakufa njaa ili kutuuzia rada kwa gharama kubwa ingekuwa nchi nyingine asingethubutu kukanyaga maana wananchi wangeingia mtaani kumpinga ila huku kwetu ni potelea pote
 
Siyo kweli!! Blair has nothing to do with our affairs!! Nadhani wanahisi shamba la bibi limerudi!! Wanataka kipiga pesa na si vinginevyo. Kuna biashara kubwa ya corona!! Wanatumia corona kutufanya watumwa!! Wanalazimisha...
Lini tumeshawahi kuwa na UHURU wa kujitenga na dunia?!!!

Unaishi ndotoni?!!!

#NchiKwanza
#SiempreJMT
 
Katika ustawi wa jamii yako na familia yako, ndoa za jinsia moja zinakutatiza nini? what is so special with ndoa moja. As long as hawaingilii maisha ya wengine in whatever way, ya mtu yeyote let them live their life they think fit!
Ahsanteeeeeeeeeeeh sana!!. Ubarikiwe mno.
 
Kayafa vinasaba vyake vilikuwa haviendani na mabeberu aliwapinga Kwa nguvu zote
 
AS long as ni adult age, ni maisha yake. Tatizo ni kuwa unatawaliwa na mila bila kuwek upande kuwa dunia siyo ya 1961 wakati tunapata so called uhuru.
Wape maarifa hawa watu, waeleze waeleze [emoji122][emoji122][emoji122]
 
View attachment 1957478

Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu , tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka .

Swali ni hili , Amefuata nini ?

Huyu ni mshirika kindaki ndaki wa bwana PaKa nyau.

Hii anajikita kwa mara nyingine baada ya siku si nyingi.

Kutakuwa na jambo hapa baina ya sisi, PaKa na Blair.

Haiyumkiniki - madini!
 
Nikiwa nashuhudia sasa ni mara ya pili kwa waziri mkuu mstaafu wa Uingereza kuwasili nchini Tanzania ndani ya mwaka huu. Sasa wachambuzi wa mambo naomba michango yao, juu ya safari zake nchini Tanzania maana ni kiongozi mkubwa duniani.
 
Nikiwa nashuhudia sasa ni mara ya pili kwa waziri mkuu mstaafu wa Uingereza kuwasili nchini Tanzania ndani ya mwaka huu. Sasa wachambuzi wa mambo naomba michango yao, juu ya safari zake nchini Tanzania maana ni kiongozi mkubwa duniani.
Kaja kutalii tu wajameni🤸
 
Tony Blair alimwambia Mugabe kama hutaki ndoa za jinsia moja misaada utaisikia kwenye bomba.
Tujiandae ndoa za jinsia moja.

Wiki ijayo baba la baba David Cameron naye anakuja.

kkkkk
Kwa hiyo wewe upo tayari kwa ndoa za jinsia Moja [emoji848][emoji848] Ili mradi tu upate misaada?!
 
Back
Top Bottom