Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kwanza jiongeze, old stoge age ni zaidi ya upuuzi wako,ni masikitiko.Kwenu ni matusi mtu kuwa fisadi ,hoja ya chadema ya dk slaa umeisahau
USSR
Kwa ulaya huo ni uhaini wa kutisha.kwa bongo poa Ila Kwa ulaya kiongozi kama huyo huo ni zaidi ya wiziMkuu acha uongo
Wamesema kuwa Blair alinunua nyumba bila kulipa kodi
Pitia habari vizuri. Hajavunja sheriaSasa sio ufisadi nini acha ukilaza kijana ,tukokulipa kodi huko ulaya au wakati wa awamu ya tano ilikuwa noma
USSR
Ile nyumba ilikua sokoni kwa £m5Tena Tony Blair amekwepa kodi kubwa sana kwenye manunuzi ya jengo na ofisi waliyonunua yeye na mkewe huko UK.
Uhuru Kenyata na members kadhaa wa nchi yake pia wamekua exposed kwenye hii pandora wao wanamiliki utajiri wa kutisha kwenye michakato 11 iliyobainika.
Hivi blair anakuha kuiba nini tanzania?Japo sijaona jina lake hapo, ila ikulu yetu siamini kama ina watu weledi waku deal na haya mambo, hii serikali iko weak sana kwenye suala la kufuatilia information za watu na kuzifanyia kazi kabla ya utekelezaji wa jambo husika, kuanzia teuzi mpaka haya mambo ya Blair ni vurugu tupu.
Bange mbaya Sana.Hakuna Jizi kama Jiwe na Group lake. Hata hizo pesa huenda walikuwa wanaficha kwa Tony Blair ndio maana anakuja Ikulu wagawane Mirathi.
Bangi sip kabisaBange mbaya Sana.
Hasa ukiivuta pembezoni mwa zizi la ng'ombe huku ukiota Moto wa samadi yake na hakuna hata kiazi Cha kuchoma.
Lazima uparamie makande Kama wewe ulivyoparamia mambo ya JPM mwamba,katika thread hii
Unalazimisha watu waanze kuweka kumbukumbu ya orodha ya 'chawa' wa 'Maza Mizinguo'. Inabidi nianze na wewe.Sukuma gang Mko busy kutafuta kila mbinu kumchafua Mama ila mlisha fail mkubali Tu ndo imetoka SSH Ndo Rais WA Tanzania mpaka 2030
Hivi hakuna anayejuwa Kikwete anazo mali kiasi gani, maana sikuwahi hata siku moja kusikia akisemwa kwa lolote isipokuwa udhaifu wake wa kuruhusu marafiki zake kufanya ufisadi.Ile nyumba ilikua sokoni kwa £m5
Iko bize na upinzaniJapo sijaona jina lake hapo, ila ikulu yetu siamini kama ina watu weledi waku deal na haya mambo, hii serikali iko weak sana kwenye suala la kufuatilia information za watu na kuzifanyia kazi kabla ya utekelezaji wa jambo husika, kuanzia teuzi mpaka haya mambo ya Blair ni vurugu tupu.
Kama lugha huielewi, uwe unaomba msaada au hata kutumia dictionary badala ya kusambaza uongo!!Habari kuu usiku wa leo ni wizi mkubwa aliufanya mshikaji wake na Mama waziri mkuu wa zamani wa UK bwana Tonny Blair na kuwa fisadi namba moja kwa wizi wa fedha za umma akishirikiana na mke wake akiwa ikulu.
Tena kimsingi sio kwamba amekwepa kodiMkuu acha uongo
Wamesema kuwa Blair alinunua nyumba bila kulipa kodi
Naruadia, kama lugha inakupiga chenga, uwe unatumia angalau dictionary!!Sasa sio ufisadi nini acha ukilaza kijana ,tukokulipa kodi huko ulaya au wakati wa awamu ya tano ilikuwa noma
USSR
Blair hajavunja sheria yoyote!!!Tena Tony Blair amekwepa kodi kubwa sana kwenye manunuzi ya jengo na ofisi waliyonunua yeye na mkewe huko UK.
Na hiyo manake nini? Ndo uzalendo huo kiongozi kukwepa kodi?Mkuu acha uongo
Wamesema kuwa Blair alinunua nyumba bila kulipa kodi
Jiwe katupiga kama nchi! Haijapata kutokea tangia uhuru. Hiyo pandora box haijafungua tu vya huku kwetuBaada ya Hiyo List kwa wizi anafata Jiwe.