Tony Blair amefuata nini Tanzania?

Amekuja kumkumbusha mama utawala bora wa sheria na haki za binadamu na aache kuwaogopa wanaomzunguka.

Hakika Mwamba yuko mbioni kurudi uraiani ili kuendeleza harakati za katiba mpya kuelekea Tanzania mpya.
 
Usikute amekuja kugawa mbegu😂😂😂
 
Mshauri wa PK,connect the dot
Ile biashara kati ya Jiwe na PK ya madini nahisi huyo Muuaji Blea ndiye anayeongooza mchongo mzima. Nasikia kuna mpunga mrefu PK alimzima Jiwe na hataki uguswe wakati madini ni yetu.
Nahisi huyo muuaji kaja kusuluhisha pande mbili ili dili za kukomba madini ziendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…