Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Nakaa naangalia video za vituko vya kushangaza vya mke wa "pastor" Tony Kapola..
Simuoni Mungu ndani yake
Sioni uchaji wa kiroho
Sioni unyenyekevu wa kiimani
Sioni kujishusha, kutubu na kujirudi
Kinachoonekana kwenye kila video ni
Majigambo
Maringo
Majisifu
Kujikweza sana na dharau za kila aina!
Kila anguko huwa na chanzo! Tony Kapola huenda huu ukawa ndio mwisho wa enzi kutokana na muujiza feki wa kupuliza mtungi wa gesi.
Mkewe akiwa anahubiri kwenye kanisa lao akatoa ushuhuda wa muujiza wa mumewe kupuliza mtungi wa gesi na kujaza gesi ya kupikia.
Wahubiri wengi mifano yao sio halisi ni ya kutunga.. Huu wa mama kapola ni mmojawapo Ila ulivuka mstari na kwenda viral mitandaoni
Mumewe badala ya kulichukulia hili jambo kiroho na kwa tafakuri ya Kimungu akalichukulia kidunia na kuanza kumtetea mkewe kwa kejeli matusi ya rejareja majisifu nknk
Mke aliyekuwa kakosa nguvu kwa mfano wa uongo ulioenda viral, baada ya kuona utetezi wa Mr na backup kubwa, akawehuka kwa vituko vya kila aina kwenye mahubiri mbalimbali
Pastor naye sasa huku akipambana na wakosoaji, mke anazidi kutoa boko kila kukicha! Sasa anashindwa kushika matatu kwa wakati mmoja
Kuendelea kumtetea wife material
Kupambana na wakosoaji
Kuendelea na ibada za kawaida
Pengine wanafurahia sana kwenda viral lakini ngoma ikivuma sana hupasuka! Episodes zao zikiisha inaweza kuwa ndio byebye!
Kupitia muujiza wa gesi tumeweza kuziona hekima na akili za hii couple! Kumbe upstairs hakuna kitu kabisa linapokuja suala la kukabiliana na changamoto😂
Babu Adam alipigwa mara mbili kwa Lilith na kwa Eva
Babu Samson kwa Delilah
Walifuata wengine halafu wakaja wa kizazi chetu
Masanja
Pilipili nk
Hananja yeye ni tofauti kidogo, aliponyanyua kinywa tu kumtetea yule akavimba sana bichwa lakini ndio ikawa mwisho wa Hananja Ku trend!
Sasa kituo kinachofuata ni kwa PT!
Good morning Tanganyika!
Murewedi.!?😎