Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,586
HahaaaaMambo ya dini ni shughuli tu za ujasiriamali kama zilivyo shughuli zingine za ujasiriamali!
Sijui niziite ujasiriamungu au ujasiriadini.
Amua mwenyewe!
Dunia hii imekuwa hovyo sana
HahaaaaMambo ya dini ni shughuli tu za ujasiriamali kama zilivyo shughuli zingine za ujasiriamali!
Sijui niziite ujasiriamungu au ujasiriadini.
Amua mwenyewe!
Kwani wewe hujafika?Kuna mwenzie nasikia kule Nyamhongolo watu wanakanyagana tu kukimbilia mafuta.
Watu wamefurika kwenye mafuta kuliko ilivyokuwa siku ya 88.
Siwezi hata siku moja.Kwani wewe hujafika?
Nyamhongolo pamechangamka hatari.
Upo sahihi mkuu, watu wameamua kuzigeuza Dini kuwa viteka uchumi vyaoMambo ya dini ni shughuli tu za ujasiriamali kama zilivyo shughuli zingine za ujasiriamali!
Sijui niziite ujasiriamungu au ujasiriadini.
Amua mwenyewe!
Safi sanaShetani kama kawaida yake humtumia kiumbe mwanamke kumuangusha mwanaume...
Kiburi cha mafanikio...
Mithali 30:7-9
Usinipe umasikini wala utajiri, unilishe chakula kilicho kadiri yangu, nisije nikashiba nikakukana...
Ilishawahi kunikuta hiiNakaa naangalia video za vituko vya kushangaza vya mke wa "pastor" Tony Kapola..
Simuoni Mungu ndani yake
Sioni uchaji wa kiroho
Sioni unyenyekevu wa kiimani
Sioni kujishusha, kutubu na kujirudi
Kinachoonekana kwenye kila video ni
Majigambo
Maringo
Majisifu
Kujikweza sana na dharau za kila aina!
Kila anguko huwa na chanzo! Tony Kapola huenda huu ukawa ndio mwisho wa enzi kutokana na muujiza feki wa kupuliza mtungi wa gesi.
Mkewe akiwa anahubiri kwenye kanisa lao akatoa ushuhuda wa muujiza wa mumewe kupuliza mtungi wa gesi na kujaza gesi ya kupikia.
Wahubiri wengi mifano yao sio halisi ni ya kutunga.. Huu wa mama kapola ni mmojawapo Ila ulivuka mstari na kwenda viral mitandaoni
Mumewe badala ya kulichukulia hili jambo kiroho na kwa tafakuri ya Kimungu akalichukulia kidunia na kuanza kumtetea mkewe kwa kejeli matusi ya rejareja majisifu nknk
Mke aliyekuwa kakosa nguvu kwa mfano wa uongo ulioenda viral, baada ya kuona utetezi wa Mr na backup kubwa, akawehuka kwa vituko vya kila aina kwenye mahubiri mbalimbali
Pastor naye sasa huku akipambana na wakosoaji, mke anazidi kutoa boko kila kukicha! Sasa anashindwa kushika matatu kwa wakati mmoja
Kuendelea kumtetea wife material
Kupambana na wakosoaji
Kuendelea na ibada za kawaida
Pengine wanafurahia sana kwenda viral lakini ngoma ikivuma sana hupasuka! Episodes zao zikiisha inaweza kuwa ndio byebye!
Kupitia muujiza wa gesi tumeweza kuziona hekima na akili za hii couple! Kumbe upstairs hakuna kitu kabisa linapokuja suala la kukabiliana na changamoto😂
Babu Adam alipigwa mara mbili kwa Lilith na kwa Eva
Babu Samson kwa Delilah
Walifuata wengine halafu wakaja wa kizazi chetu
Masanja
Pilipili nk
Hananja yeye ni tofauti kidogo, aliponyanyua kinywa tu kumtetea yule akavimba sana bichwa lakini ndio ikawa mwisho wa Hananja Ku trend!
Sasa kituo kinachofuata ni kwa PT!
Good morning Tanganyika!
Murewedi.!?😎View attachment 3442636
Mithali 30:7-9Shetani kama kawaida yake humtumia kiumbe mwanamke kumuangusha mwanaume...
Kiburi cha mafanikio...
Mithali 30:7-9
Usinipe umasikini wala utajiri, unilishe chakula kilicho kadiri yangu, nisije nikashiba nikakukana...
Kwamba wewe ndio una Mungu-nometer ya kuweza kupima hapa yupo na pale hayupo- Nadhani hapa ni ya Kaisari kumuachia Kaisari linapokuja suala la Imani, waumini wote hawachekani unless nyote ni Imani moja kwahio mnabishana according to Katiba yenu (Imani) au hauamini kabisa kwahio unaona wote wamepotoka LAKINI sio kwamba ile Imani sio na hii Ndio..., UKishaamini kuna uwezekano kubadilisha Maji kuwa Divai na Mkate kuwa Mikate lakini Kijiji kizima kilisahau kuleta chakula na Aliyebadilisha hakuwaambia beforehand walete sababu alijua watasahau..., BASI on the same token huwezi kubishia haya Mengine...Nakaa naangalia video za vituko vya kushangaza vya mke wa "pastor" Tony Kapola..
Simuoni Mungu ndani yake
Sioni uchaji wa kiroho
Sioni unyenyekevu wa kiimani
Samahani, wewe mpaka ulipofika hapo kakutumia kuangusha wanaume wangapi?? Unajisikiaje kutumika na shetani??Shetani kama kawaida yake humtumia kiumbe mwanamke kumuangusha mwanaume...
😂😂😂😂Mambo ya dini ni shughuli tu za ujasiriamali kama zilivyo shughuli zingine za ujasiriamali!
Sijui niziite ujasiriamungu au ujasiriadini.
Amua mwenyewe!
TP ni tapeli period! Hakuna kuleta justification yoyote ya utetezi.. Mkewe kadanganya naye katetea uovu wa mkeweKwamba wewe ndio una Mungu-nometer ya kuweza kupima hapa yupo na pale hayupo- Nadhani hapa ni ya Kaisari kumuachia Kaisari linapokuja suala la Imani, waumini wote hawachekani unless nyote ni Imani moja kwahio mnabishana according to Katiba yenu (Imani) au hauamini kabisa kwahio unaona wote wamepotoka LAKINI sio kwamba ile Imani sio na hii Ndio..., UKishaamini kuna uwezekano kubadilisha Maji kuwa Divai na Mkate kuwa Mikate lakini Kijiji kizima kilisahau kuleta chakula na Aliyebadilisha hakuwaambia beforehand walete sababu alijua watasahau..., BASI on the same token huwezi kubishia haya Mengine...
Ikija kwenye suala la Proof ili kutenga factual na kusadikika utajikuta kwamba Imani zote zinaingia kwenye suala la Uongo.., sasa katika utapeli ni wanachukua kiasi gani ili kuuza so called Imani zao (ambao unaweza ukaziweka kwenye utapeli kwa jicho lingine); Cha kujiuliza hio Opium unayopewa (feel good factual) kama ni worth it kwa kile unachotoa...TP ni tapeli period! Hakuna kuleta justification yoyote ya utetezi.. Mkewe kadanganya naye katetea uovu wa mkewe
Jaribu dogo sana limefumua uhalisia wake
😂😂😂😂😂😂Pastor naye sasa huku akipambana na wakosoaji, mke anazidi kutoa boko kila kukicha! Sasa anashindwa kushika matatu kwa wakati mmoja
Kuendelea kumtetea wife material
Kupambana na wakosoaji
Kuendelea na ibada za kawaida
Hapa ndio utajua kwanini sulemani aliomba hekima hii dunia unahitaji hekima kwenye kukabiliana na kila jambo bila hekima kutoa boko mbona ni haraka sanaNakaa naangalia video za vituko vya kushangaza vya mke wa "pastor" Tony Kapola..