Tony Kapola naye kaingia kwenye mfumo kama Adam, Samson, mchungaji Hananja nk..! Amekwisha

Pastor Tony toka nilipomuona amekutana na yule Jamaa wa uingereza Urbert Angel sijui na kujisubmit kwaje nilipata wasiwasi sana sijui kwanini.

Nakumbuka niliandika ujumbe insta nilipoona hiyo video yao. Hatupaswi kuangalia mafanikio tu ya mtu na sisi kujiweka chini yake. Tunapaswa kuzichunguza roho kama tunavyoelekezwa na NENO. Ndohaya sasa unapata mafanikio lakini ndiyo yanakuwa kikwazo na kisiki cha kujikwaa kwako.

Ipo sehemu alipojikwaa PT arudi akaangalie huku kwingine ni sehemu aliyoangukia tu.
 
Ipo sehemu alipojikwaa PT arudi akaangalie huku kwingine ni sehemu aliyoangukia tu.📌🔨
 
Back
Top Bottom