Tony Kapola naye kaingia kwenye mfumo kama Adam, Samson, mchungaji Hananja nk..! Amekwisha

Kuna mwenzie nasikia kule Nyamhongolo watu wanakanyagana tu kukimbilia mafuta.
Watu wamefurika kwenye mafuta kuliko ilivyokuwa siku ya 88.
Kwani wewe hujafika?
Nyamhongolo pamechangamka hatari.
 
Mambo ya dini ni shughuli tu za ujasiriamali kama zilivyo shughuli zingine za ujasiriamali!

Sijui niziite ujasiriamungu au ujasiriadini.

Amua mwenyewe!
Upo sahihi mkuu, watu wameamua kuzigeuza Dini kuwa viteka uchumi vyao
 
Mtume Paulo alishaonya na kukataza wanawake kuongea madhehebuni ila binadamu walivyo vichwa ngumu wakakaidi maandiko
 
Ilishawahi kunikuta hii
 
Shetani kama kawaida yake humtumia kiumbe mwanamke kumuangusha mwanaume...

Kiburi cha mafanikio...

Mithali 30:7-9
Usinipe umasikini wala utajiri, unilishe chakula kilicho kadiri yangu, nisije nikashiba nikakukana...
Mithali 30:7-9
Usinipe umasikini wala utajiri, unilishe chakula kilicho kadiri yangu, nisije nikashiba nikakukana...๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ
 
Nakaa naangalia video za vituko vya kushangaza vya mke wa "pastor" Tony Kapola..
Simuoni Mungu ndani yake
Sioni uchaji wa kiroho
Sioni unyenyekevu wa kiimani
Kwamba wewe ndio una Mungu-nometer ya kuweza kupima hapa yupo na pale hayupo- Nadhani hapa ni ya Kaisari kumuachia Kaisari linapokuja suala la Imani, waumini wote hawachekani unless nyote ni Imani moja kwahio mnabishana according to Katiba yenu (Imani) au hauamini kabisa kwahio unaona wote wamepotoka LAKINI sio kwamba ile Imani sio na hii Ndio..., UKishaamini kuna uwezekano kubadilisha Maji kuwa Divai na Mkate kuwa Mikate lakini Kijiji kizima kilisahau kuleta chakula na Aliyebadilisha hakuwaambia beforehand walete sababu alijua watasahau..., BASI on the same token huwezi kubishia haya Mengine...
 
Shetani kama kawaida yake humtumia kiumbe mwanamke kumuangusha mwanaume...
Samahani, wewe mpaka ulipofika hapo kakutumia kuangusha wanaume wangapi?? Unajisikiaje kutumika na shetani??

Siku tukianza kuwajibika kwa makosa na uzembe wetu wenyewe na siyo kutafuta kisingizio tutakuwa mbali sana!
 
Sio kwamba hajui anacho anachofanya ila bado ni kijana.

Kijana tunawaza mambo meng sana yahitaji hekima ya wazee kabla ya kuongea chchte.
 
Mambo ya dini ni shughuli tu za ujasiriamali kama zilivyo shughuli zingine za ujasiriamali!

Sijui niziite ujasiriamungu au ujasiriadini.

Amua mwenyewe!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
TP ni tapeli period! Hakuna kuleta justification yoyote ya utetezi.. Mkewe kadanganya naye katetea uovu wa mkewe
Jaribu dogo sana limefumua uhalisia wake
 
TP ni tapeli period! Hakuna kuleta justification yoyote ya utetezi.. Mkewe kadanganya naye katetea uovu wa mkewe
Jaribu dogo sana limefumua uhalisia wake
Ikija kwenye suala la Proof ili kutenga factual na kusadikika utajikuta kwamba Imani zote zinaingia kwenye suala la Uongo.., sasa katika utapeli ni wanachukua kiasi gani ili kuuza so called Imani zao (ambao unaweza ukaziweka kwenye utapeli kwa jicho lingine); Cha kujiuliza hio Opium unayopewa (feel good factual) kama ni worth it kwa kile unachotoa...
 
Kujikweza sana na dharau za kila aina!
Kila anguko huwa na chanzo! Tony Kapola huenda huu ukawa ndio mwisho wa enzi kutokana na muujiza feki wa kupuliza mtungi wa gesi.
 
Pastor naye sasa huku akipambana na wakosoaji, mke anazidi kutoa boko kila kukicha! Sasa anashindwa kushika matatu kwa wakati mmoja
Kuendelea kumtetea wife material
Kupambana na wakosoaji
Kuendelea na ibada za kawaida
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hapa ndio utajua kwanini sulemani aliomba hekima hii dunia unahitaji hekima kwenye kukabiliana na kila jambo bila hekima kutoa boko mbona ni haraka sana
 
Hapa ndio utajua kwanini sulemani aliomba hekima hii dunia unahitaji hekima kwenye kukabiliana na kila jambo bila hekima kutoa boko mbona ni haraka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ