Too late akina dada, kumnyima utamu anayehakikisha kukuoa kisa walikutumia wakakuacha

Nifah[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Nimkosee Mungu etii kwa sababu tu nataka Ndoa....No Thank You....Namwamini Mungu kama amenipangia kuolewaa ntaolewaa tu no matter What.....Ila sio kuendekeza Ujinga etii kwa sababu tu naogopa kukimbiwaa!
 
Unauziwa mbuzi kwenye gunia keshafumuliwa malinda.
 
daaaaaaah yaaaaniiiiiiiiii nimekukosea jibu ngoja nikae kimya Yesu nifundishe kunyamaza uwiiiiii
 
Haswaaaaa binti wa watu ni Mchamungu,sio sawa na wadada micharuko wa mjini.
Kamdhalilisha sana,yani hapa akilogwa tu anijibu mbovu leo amekwisha.

Kwanza huu uchafu wake anaopost huku nitauanika kwa familia ya binti.
Huyu mwanaume ni mshenzi sana.
Aise pole kwa huyo binti...

Aendelee na msimamo wake.

Huyu jamaa kaniudhi hapo anapojifanya eti anataka kumtolea nuksi ya kutoolewa.

Utadhani yeye ndo mtoa gundu kwamba asipoolewa nae ndo mwisho wa huyo dada. Ana maneno machafu sana huyu
 
Nawaambiaga kila siku kubana papuchi hakuta waongezea thamani yoyote ...na ktk dunia ya Leo hakuna mwanaume atakubali aoe bila kuonja mzigo never
tushaweka lock hatutaki tena
 
Umenyimwa mzgo et..?? Pole ndugu yangu ongeza bidii katika kushawishi[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Huyo dada mwambie akimbie huyu kaka hamfai kwa style hiyo...

Mwambie huyo dada anastahili kupendwa na kuenjoy na sio kuteswa kiasi hicho...

Sasa hapo hajamuoa anamtesa hivo akimuoa dada wawatu si atazeeka na kufa kabla ya wakati wake!

Dada apunguze upole asikubali kuteswa namna hiyo
 
Unafaa kufanya kaz usalama wa taifa...ww n zaid ya gwajima ktk kifukunyua vitu[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Watu wanajidanganya na hizi fake ID,tena mbaya zaidi wakipatwa na jambo wanakimbilia kupost huku.
 
Naombeni nikae kimya wakuu [emoji120]
Mtumbue tu hamna namna wanaume kama hawa hawafaiiii
Kumbe kuna wanaume pia wako desparate, amekosa hekima kabsa anakuja kumuanika dada wa watu humu
 
Ndo nenda kwa huyo mtoto wa miaka 19 sasa.
Kugawa au kutoa ni maamuzi ya mtu.
Kama kunyimwa papuchi kunakufanya usinioe basi tambaa mbele... Hukua na nia ya kuoa.
Wapo wanaosimama na msimamo huo na wanaolewa. Ko kama unatafuta pa kuonja wapo wanaoruhusu kuonja pia.

Kuna raha yake mkutene kimwili mara ya kwanza baada ya ndoa!!! Haijalishi kama ni bikra au la! Ni msimamo tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…