Too late akina dada, kumnyima utamu anayehakikisha kukuoa kisa walikutumia wakakuacha

Too late akina dada, kumnyima utamu anayehakikisha kukuoa kisa walikutumia wakakuacha

Yani wewe kaka kugombana na mpenzi wako kisa kakataa kuja kwako ndio yamefika hadi huku?

Kwanini umekosa hekima na adabu kiasi hiki? Yeye ana miaka 29 tu unamuona mzee,wewe mwenye 38 sijui 39 tukuite nani?

Kisa mtoto wa watu amekupenda na umeona anataka kuolewa ndio unatake advantage.

Kuolewa sio pumzi tuseme usipomuoa atakosa kuishi,acha kashfa na dharau.
Yani una bahati msichana wa watu ni mpole,ningekuwa mimi ungekoma.

Behave bhana,acha mambo zako hizo.
Usiniulize nimekujua vipi maana sitokujibu.
Nifah[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Nimkosee Mungu etii kwa sababu tu nataka Ndoa....No Thank You....Namwamini Mungu kama amenipangia kuolewaa ntaolewaa tu no matter What.....Ila sio kuendekeza Ujinga etii kwa sababu tu naogopa kukimbiwaa!
 
Unauziwa mbuzi kwenye gunia keshafumuliwa malinda.
 
Hii habari ya kumnyima papuchi mtu ambaye amekuhakikishia kukuoa, eti tu kwasabb wengi waliwahi kutumia mbinu hiyo kisha wakamega na kusepa, itawakimbiza wachumba wengi. Mtaishia kuvaa sare kwenye harusi za wenzenu.

As long as ulianza kwa kugawa hovyo, basi mpe hata huyu ambaye kaja sasa. Huwenda ana nia njema ya kukuondolea nuksi ya kuendelea kuwa jamvi la wageni.

Achana na mtindo wa kuanza kutii maelekezo ya wazazi at your late 20s,kwasabb tu unataka kuolewa. It's too late. Nani atarudi kwako tena na uzee wako huo? Ndiyo. At your late 20s, wewe ni mzee!

Wakati wewe na uzee wako unabania mtoto wa miaka 19 anagawa bila hiana, kwa kihepe (chips) tu.

Shauri zenu
daaaaaaah yaaaaniiiiiiiiii nimekukosea jibu ngoja nikae kimya Yesu nifundishe kunyamaza uwiiiiii
 
Haswaaaaa binti wa watu ni Mchamungu,sio sawa na wadada micharuko wa mjini.
Kamdhalilisha sana,yani hapa akilogwa tu anijibu mbovu leo amekwisha.

Kwanza huu uchafu wake anaopost huku nitauanika kwa familia ya binti.
Huyu mwanaume ni mshenzi sana.
Aise pole kwa huyo binti...

Aendelee na msimamo wake.

Huyu jamaa kaniudhi hapo anapojifanya eti anataka kumtolea nuksi ya kutoolewa.

Utadhani yeye ndo mtoa gundu kwamba asipoolewa nae ndo mwisho wa huyo dada. Ana maneno machafu sana huyu
 
Hii habari ya kumnyima papuchi mtu ambaye amekuhakikishia kukuoa, eti tu kwasabb wengi waliwahi kutumia mbinu hiyo kisha wakamega na kusepa, itawakimbiza wachumba wengi. Mtaishia kuvaa sare kwenye harusi za wenzenu.

As long as ulianza kwa kugawa hovyo, basi mpe hata huyu ambaye kaja sasa. Huwenda ana nia njema ya kukuondolea nuksi ya kuendelea kuwa jamvi la wageni.

Achana na mtindo wa kuanza kutii maelekezo ya wazazi at your late 20s,kwasabb tu unataka kuolewa. It's too late. Nani atarudi kwako tena na uzee wako huo? Ndiyo. At your late 20s, wewe ni mzee!

Wakati wewe na uzee wako unabania mtoto wa miaka 19 anagawa bila hiana, kwa kihepe (chips) tu.

Shauri zenu
Nawaambiaga kila siku kubana papuchi hakuta waongezea thamani yoyote ...na ktk dunia ya Leo hakuna mwanaume atakubali aoe bila kuonja mzigo never
tushaweka lock hatutaki tena
 
Hii habari ya kumnyima papuchi mtu ambaye amekuhakikishia kukuoa, eti tu kwasabb wengi waliwahi kutumia mbinu hiyo kisha wakamega na kusepa, itawakimbiza wachumba wengi. Mtaishia kuvaa sare kwenye harusi za wenzenu.

As long as ulianza kwa kugawa hovyo, basi mpe hata huyu ambaye kaja sasa. Huwenda ana nia njema ya kukuondolea nuksi ya kuendelea kuwa jamvi la wageni.

Achana na mtindo wa kuanza kutii maelekezo ya wazazi at your late 20s,kwasabb tu unataka kuolewa. It's too late. Nani atarudi kwako tena na uzee wako huo? Ndiyo. At your late 20s, wewe ni mzee!

Wakati wewe na uzee wako unabania mtoto wa miaka 19 anagawa bila hiana, kwa kihepe (chips) tu.

Shauri zenu
Umenyimwa mzgo et..?? Pole ndugu yangu ongeza bidii katika kushawishi[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ana maneno machafu mnoooo,huyu kaka hafai kabisa ndio maana hadi sasa ana miaka 39 hajaoa.

Inaonekana hata wanawake zake waliopita alikuwa anawanyanyasa hivihivi.

Vale huyu kaka ukiambiwa anavyomtesa huyu binti utaliaaa,namsubiri tu anichefue niyamwage yote.
Huyo dada mwambie akimbie huyu kaka hamfai kwa style hiyo...

Mwambie huyo dada anastahili kupendwa na kuenjoy na sio kuteswa kiasi hicho...

Sasa hapo hajamuoa anamtesa hivo akimuoa dada wawatu si atazeeka na kufa kabla ya wakati wake!

Dada apunguze upole asikubali kuteswa namna hiyo
 
Unafaa kufanya kaz usalama wa taifa...ww n zaid ya gwajima ktk kifukunyua vitu[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Watu wanajidanganya na hizi fake ID,tena mbaya zaidi wakipatwa na jambo wanakimbilia kupost huku.
 
Naombeni nikae kimya wakuu [emoji120]
Mtumbue tu hamna namna wanaume kama hawa hawafaiiii
Kumbe kuna wanaume pia wako desparate, amekosa hekima kabsa anakuja kumuanika dada wa watu humu
 
Ndo nenda kwa huyo mtoto wa miaka 19 sasa.
Kugawa au kutoa ni maamuzi ya mtu.
Kama kunyimwa papuchi kunakufanya usinioe basi tambaa mbele... Hukua na nia ya kuoa.
Wapo wanaosimama na msimamo huo na wanaolewa. Ko kama unatafuta pa kuonja wapo wanaoruhusu kuonja pia.

Kuna raha yake mkutene kimwili mara ya kwanza baada ya ndoa!!! Haijalishi kama ni bikra au la! Ni msimamo tu.
 
Ukiona threads za hivi usiku usiku kama huu ujue mleta mada kabanwa sana na genye halafu mchana alibaniwa balaa sasa hasira zake za kule naniliii anazihamishia JF

Mkuu sabuni si ipo nenda tu kajipunguzie machungu,kesho utadaka kasiko bania ujipigie sie hatuwezi kukusaidia humu kwa comments
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom