Top 10 Best secondary schools of all time in Tanzania


Naomba usome tena maelezo yangu mkuu.
 

Kuna wanafunzi wengi tu ambao walifaulu kwenda kusoma shule za serikali lakini kwa vile wazazi wao walikuwa na uwezo waliamua kuwapeleka kwenye shule za binafsi kama vile Agha Khan Mzizima na SRSS.

Na miaka hiyo unayoizungumzia wewe ilikuwa ni ujiko kusoma hizo shule. Mimi nimesoma shule binafsi na kamwe sikuwahi kuona aibu na nilikuwa najivunia kusoma hiyo shule na divisheni one na two zilikuwepo za kutosha kabisa.

Kwa hiyo siyo wote na siyo sahihi kusema kuwa wale waliosoma shule za binafsi walifeli mitihani ya taifa ndiyo maana wakasoma shule za private.

Na kwa vile mtu alifeli darasa la saba au form four haimaanishi kuwa yeye si kipanga. Sababu za watu kutopata alama za juu huwa ni nyingi sana.
 
Shule nzuri ni za ROMAN CATHOLIC seminaries na kwa sasa the best ni Queen Of Apostrophies Seminary iliyopo Ushirombo,mkoa mpya wa Geita.
 

kwa minajili hii mtabishana mpaka kesho asubuhi hapa!
 
Hata mimi sijaelewa sijui ni aibu gani anayoizungumzia.

Halafu kufeli la 7 wala siyo aibu. Na kufeli mtihani wowote ule si aibu.

Sio aibu kaka but wabongo walikuwa wanaponda mtaani wanaringishia kuchaguliwa serikalin na kuona tusiochaguliwa vilaza. Ni wachache walio exposed kias cha kuelewa hilo as kufeli shule sio ukilaza
 
Kuna shule nyingne hata hazna miaka 20 lakin kwa kipind kifup zimefanya wonders kulko hata zenye miaka 60. Hicho ni kigezo pia
 

Kubadilika kutoka kuwa mwanafunzi wa kawaida na kwenda kuwa mwanafunzi bora kunahitaji pia juhudi binafsi. Hata upewe waalimu wako peke yako wewe mwenyewe kama huweki juhudi zako binafsi basi hutaona matokeo.

Kwa miaka hiyo ya 80 na 90 SRSS na Mzizima zilikuwa na mazingira mazuri sana ya kuweza kumfanya mwanafunzi afaulu. Ratio ya wanafunzi na walimu ilikuwa ndogo na hivyo kuwezesha kutoa fursa ya one-on-one kati ya waalimu na wanafunzi waliokuwa hawafanyi vizuri, maabara na maktaba zilikuwa nzuri, n.k.
 

Ni kweli kaka sbrss, mzzm, feza zilikuw shule flan hivi watu wanaziogopa but feza niliipa credit za kubadilisha low perfomer to top level, sbrss na mzzm zilikuwa zinakuweka kawaida, my twin sister goes to sbrss but hakubadilika sana as form 2 tu tukawa tofauti as ufundishaj wa sbrss haukuwa sawa na feza.

Nilichokuwa naongelea kwenye kumbadilisha mwanafunzi, kuhusu ujiko ni kweli as hakuna anayependa shida au kutosoma shule nzuri. Miaka hiyo na hadi sasa ukionekana na hizo jezi tu sbrss, mzizima na hata feza ujiko as hutumii nguvu kukamata watoto wa jangwan, kisutu, zanak na kwingineko as jezi inakusapoti
 

Kwa Kesi ya Shaban Roberts na Mzizima i do agree with you kwani hizo naziweka kundi moja na seminaries.... hebu tujitahidi kuongeza hiyo list uone kama tutakumbuka walau shule 5 ambazo mtu ungeweza kujivunia na kuacha offer ya kwenda ilboru umbwe mazengo nk......
 

mwanaasha? Akili ya mama ile!
Yani kafuata upande wa mama yake!
Ticha scores!
 
Mnaoisifia Feza naombeni ufafanuzi please,

Ni hii hii ya Mwanaasha??
 
Shule nzuri ni za ROMAN CATHOLIC seminaries na kwa sasa the best ni Queen Of Apostrophies Seminary iliyopo Ushirombo,mkoa mpya wa Geita.

Halafu Apostrophies ndo nn?.. au ulikuwa unamaanisha Apostles..
 
nyie wote mnaonekana voda fasta divisheni yako I Point 7F4 au 3 F6 ni sawa na div 3 za miaka ya 2000 kurudi nyuma!


nyie mnasoma basi? au mnakaririshwa. Tafakarini chukua hatua. nafundisha chuo kikuu kimoja hapa TZ, ndg wanafunzi

wetu someni achaneni na dot com, Aliyetaja GPA Kubwa hapo juu! division na gpa zetu hazina lolote.


wewe mwanafunzi unatokea mzumbe, au feza, chuo unapata shida ya nini, kama kweli ulisoma vizur . unafaulu sawa na


wa shule za kata wapi na wapi?
 
mbona 2012 shule ya sekondari Kisimiri ilikuwa ya kwanza katika shule za serikali na ya tatu kitaifa wanafunzi ndio sababu ya shule kuwa bora
 
Tafadhali weka taboraboys nafasi ya kwanza achana na feza,mzumbe wameibuka juzi tu nenda kwenye historia uone tbrboys ilivyokuwa nouma alafu huwezi kuweka na vijishule vya miaka ya hivi karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…