Top 10 Best secondary schools of all time in Tanzania

wap mafinga seminary
mafinga seminary ilikuwa haitiii mguu hata kwa jirani zao CONSOLATA SEMINARY achilia mbali DON BOSCO SEMINARY,, toka ameondoka FR MASIKA ile shule imekua haina tofauti na JJ MUNGAI.. kwa mkoa wa iringa kidogo DON BOSCO nawakubali sana,, then kwa upande wa mkoa wa njombe ST JOSEPH KILOCHA..

hao ukichanganyanya na st fransis ya mbeya plus mbaliz seminary ndo unapata ligi tamu upande wa nyanda za juu kusini.. hao mafinga seminary kazi kunywa ULANZI, KOMONI, KIMPUMU, MSABE, KIHAMBULE..... ndo maana hata mapadri wanaotoka hapo huwa wanakuwa na vitabia fulani vya ulevi
 

Hapo umeongea ukwel mkuu na ndio mana ya shule za private na mimi huwa kinanishangaza ki2 kimoja,unakuta m2 ana div 1 pnt hata 8 o'level shule za private akienda advance shule za serikal anaweza asitoke vizur tofaut na anayetoka shule ya serikali.
 

sasa "MKATA KIU" umetueleza tu kwamba feza ni nzuri imewaandaa vijana waliofeli darasa la 7 na kuweza kufaulu vizuri walipofika kidato cha tano na sita hata kutingisha nchi kwa kuingia top ten...!!!
but ingependeza sasa ukatoa reference kutoka kwako kwa7bu wewe ulifaulu darasa la saba sasa embu tueleze wewe walikuandaa kuwa ktk best top ten or waste top ten....!!!
 
huyu tamaa wa leo leo hivi feza, sijui marian unaweza cnmpare na shule km Tosamaganga, box 2 pale songea aka songea boys? Pugu enzi hizo? Tabora boys? Ilbolu? Dogo bd sana wewe

nakubaliana na ww mkuu.dogo hajakuwepo enzi hizo!nakumbuka pugu enzi za fangasi na maji ya pondi lakini bado vijana walipaform vema.
 

Nahisi bado unaota wewe malangali mara ya mwisho kuingia toptwent nimwaka 2010
 

Kweli uhipendi mafinga seminary....aisee walikula kichwa nini hadi unalinganisha mafinga na st.marys seminary mbalizi...kweli huna informations aisee... ckuwahi kusoma mafinga seminary ila tokea mwaka 2003 hadi 2010 nimekuwa nikiisikia kati ya shule bora kwa olevel nikimaanisha inaingia top ten mara nyingi...

Mmhh nilisomaga st.mary's seminary visiga then nikaenda st.james seminary lakini mafinga ni kati ya seminary zinazofanya vizuri hasa kwa o level mkuu....consolata walishafutaga O level aisee...
 
Tuwekeze kwenye elimu watanzania wasome sio tutafute shule imefanya nini na nini mazingira ya me badilika uwekezaji kwenye elimu bora umeshuka haswa kwa serikali mnazani watu watakua bora plus shule za kata plas ujeuri na kushuka kwa nidhamu kwa wanafunz

this days plus darasa moja wanafunzi 150 wakati mie nime soma public school pale kleruu darasa letu tulikua 39 A na B 40 nikachaguliwa kujiunga tabora boys darasa wanafunzi tulikua 40 combination yangu kwanini tusifaulu vizur sikuhizi wanaosoma private wana asilimia 70 kufaulu ila public schools 15 asilimia kufaulu napo ...
 
Kaizirege Secondary is thé best school of thé year 2013 -2014
 
Mkuu mtoa mada umesahau mzizima ilikuwa hatari kpindi chake,ni moja ya shule bora kabisa kwa watu waliosoma miaka ya tisin adi elfu mbli watakuwa wanaifaham,sjui sku hzi imepatwa na nn matokeo yake nayo yamekuwa mabovu sio ile mzizima niliyokuwa naifaham
 
wewe utakuwa ni kijana wa dotikomu, hizo shule za private zimeanza miaka ya 2000, nyuma ya hapo ilikuwa private wanaenda watu waliofeli std 7 na ilikuwani aibu kusema unasoma private school

Uko sahihi kabisa mkuu , mfano Malangali secondary school ilianzishwa mwaka 1928 , hivyo ni shule kongwe na ina faulisha sanakwani hata top 10 ishaingia maa nyingi sana kwa wanaoijua watakubaliana nami juu ya uwezo wa wanafunzi wa malangali
 

Kweli kabisa
 
Hivi kwanini hao wanafunzi wanao toka shule hizo za sant sant wakifika vyuo vikuu wanadisco tuu au wanashindwa kabisa wakati wanakuja na division one kariii?? Na kingereza kama cha ulaya!! Chuoni naona wanaofanya vzr niwale wanaotokea shule za kawaida kabisa na wanajua nini wanafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…