Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

pakaya ntamakaya - huyu ni ex FoE, UDSM T.87

Majani Kufabasi-Afisa wa ngazi za juu Wizara ya Afya

Bakam Bakangana Halimoja Kinyanyase Kiponda Omororo-Afisa chama cha ushirika Kyela
 
Rashid kahanju-mfanya biashara za nguo songea

mwizinkulu jilala-mganga wa jadi

rambert kampitikuti-mjumbe wa nyumba kumi

mponjoli ngalikihinja -mzee wa mtaa
 
Ndizigie Ntahondi


Ntarundo Mbuze Ntanyonga

Nguruwe Kunguru
 
Nsajigwa Mwakinyuke. Form four leaver 2003

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Papayai katambori-Ilboru sec 2000's
Bw. Pekesheni-nilikutana nae Tanga 2000's
Bw.nguruwu-nilikutana nae mkoa wa pwani
 
Rashid Nguruwe, alikuwa RPC Dodoma miaka ya nyuma. Kwa sasa sijui alipo.

Hahahaha umenikumbusha kamanda Nguruwe,beni kiko alikua akisoma habari ya rpc wa Dodoma alichekeha sana jinsi alivyuokua akirudia jina la nguruwe hahhaha! Nguruwe akijibu maswali ya waandishi wa habari.
 
Back
Top Bottom