Top 10 ya nchi zenye utajiri wa madini Afrika, Tanzania haipo

Yaani Zambia na utajiri woote wa copper haipo kenye list?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ haya matangopori
Ndio ujue Afrika ni tajiri Kila sehemu zaidi ya hicho Cha Zambia..

Kama Zambia ingekuwa tajiri kihivyo ingekuwa na maendelea kuliko Tanzania..

Nchi yenye watu wenye akili hapa Afrika Kusini mwa SADC ni Zimbabwe.
 
Huna mtaji,huna Teknolojia Wala huna soko what do you expect? Mbaya zaidi waliofanya utafiti na kugundua ni hao hao wazungu ,wewe subiria mrahaba tuu.
 
Ndio ujue Afrika ni tajiri Kila sehemu zaidi ya hicho Cha Zambia..

Kama Zambia ingekuwa tajiri kihivyo ingekuwa na maendelea kuliko Tanzania..

Nchi yenye watu wenye akili hapa Afrika Kusini mwa SADC ni Zimbabwe.
Naona umeivalia njuga hii taaarifa fake kama unalipwa😑😑
 
Ndio ujue Afrika ni tajiri Kila sehemu zaidi ya hicho Cha Zambia..

Kama Zambia ingekuwa tajiri kihivyo ingekuwa na maendelea kuliko Tanzania..

Nchi yenye watu wenye akili hapa Afrika Kusini mwa SADC ni Zimbabwe.
Na ndiyo nchi maskini kuliko nchi zote Kusini mwa SADC.
 
Kwenye hiyo List Yako ondoa kabisa Tanzania ,tunabangaiza hiyo dhahabu na Wala hatuna deposits ya maana..

Nchi nyingine ulizotaja Zina aina Moja tuu ya Madini kama Zambia na Guinea..

Mwisho list fake kutoka Kwa chanzo fake.
 
Ndio Zenye Madini hizo nyie wengine ni wababgaizaji..

Pale Zimbabwe Mchina Katia Mgodi wa Til.4 wa Lithium,Tanzania una Mgodi upi wa thamani hiyo Kwa mfano?
Tuna bandari ya bagamoyo inajengwa na mchina πŸ˜€
 
Kwenye hiyo List Yako ondoa kabisa Tanzania ,tunabangaiza hiyo dhahabu na Wala hatuna deposits ya maana..

Nchi nyingine ulizotaja Zina aina Moja tuu ya Madini kama Zambia na Guinea..

Mwisho list fake kutoka Kwa chanzo fake.
Acha ujinga Algeria ni Mafuta tu na sio madini labda ungeita NATURAL RESOURCES, SIO MINERALS
 
Acha blaa blaa wewe hakuna Cha other factors hakuna Madini Kuna ubangaizaji wa wachimba na sululu.
Akili yako imejaa tope na ubishani wa kijinga endelea na Twitter yako πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Twitter au ukweli? 🀣🀣🀣🀣
Kule Kahama saizi kumebakia mashimo tumadini twa kubangaiza twa bulyankuku ,Kahama mines tukishaisha πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…