ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #181
Ndio ujue Afrika ni tajiri Kila sehemu zaidi ya hicho Cha Zambia..Yaani Zambia na utajiri woote wa copper haipo kenye list?ππππ haya matangopori
Kama Zambia ingekuwa tajiri kihivyo ingekuwa na maendelea kuliko Tanzania..
Nchi yenye watu wenye akili hapa Afrika Kusini mwa SADC ni Zimbabwe.