Top 10 ya nchi zenye utajiri wa madini Afrika, Tanzania haipo

😁😁😁😁 Uwekezaji ni mdogo Sasa Kwa nini wasiwekeze kama Kuna Madini ya kutosha?

Tanzania inaweza izidi nini Nchi kama Gabon? Ukiacha mafuta,almasi nk Kuna timber industry ya kufa mtu.
Nilichogungua, ww jamaa akili yako inakosa utulivu lbd kwasbb unazo akili nying kiwango cha kujua zaidi mambo hivyo kuna nyakt unakosa utulivu kdg tu, data uliyowek haijataj madini jpo maada yk umesema madini, madini sio gas wala sio oil. Hao watu wamewk list kama wazarishaji wakuu. Yan tunaposem uzalishaji ni tofauti na uwepo, mfano mpunga unaozarishwa mbeya ni mwingi sokon sio kwasbb eti mashamb yao n makubwa lkn kunafactor zaid ya hiyo, tech, capital, personel na sababu rukuki. Lkn wangesema wingi wa hazina bas 1, congo, 2. Tz 3. SA
 
Utazalisha kitu ambacho huna? 😜😜😜.

Eti wingi wa hazina,hazina ipi tuliyonayo Tzn hapa?
 
Watanzania wamekuwa wakidanganywa sana na Wanasiasa wakiwemo Chadema, Mwendazake nk kwamba Nchi yetu ni tajiri sana hapa Afrika ingawa kiuhalisia sio Kweli.. Mbona kweli list hapa ya utajiri haipo?

Kwa mujibu wa jarida la economist intelligence Nchi 10 Zenye Utajiri wa Madini hapa Afrika ni zifuatazo

1.South Africa
2.Nigeria,
3.Algeria,
4.Angola,
5.Libya,
6.Egypt,
7.Ghana,
8.DR Congo,
9.Gabon,
10.Zimbabwe.

Sasa kama Tanzania hatumo kwenye hiyo list utajiri ambao huimbwa na Wanasiasa ni upi?
Maana hata kama ni Ardhi nzuri ya Kilimo hatuwezi ifikia South Sudan, Angola, Zambia, DR Congo nk.

Hivi utajiri wa Tanzania hasa ni upi? Au tafsiri ya Utajiri inayosungumzwa ni ipi hasa?

Nilichogungua, ww jamaa akili yako inakosa utulivu lbd kwasbb unazo akili nying kiwango cha kujua zaidi mambo hivyo kuna nyakt unakosa utulivu kdg tu, data uliyowek haijataj madini jpo maada yk umesema madini, madini sio gas wala sio oil. Hao watu wamewk list kama wazarishaji wakuu. Yan tunaposem uzalishaji ni tofauti na uwepo, mfano mpunga unaozarishwa mbeya ni mwingi sokon sio kwasbb eti mashamb yao n makubwa lkn kunafactor zaid ya hiyo, tech, capital, personel na sababu rukuki. Lkn wangesema wingi wa hazina bas 1, congo, 2. Tz 3. SA.
 
Kama Madini yapi unayoyajua wewe Yako Tanzania? Acha porojo ingekuwa hivyo settlers wa kizungu wangeshakuwepo miaka Mingi sana kama South Africa, Zimbabwe, Angola, Nigeria, Algeria nk..

Tanzania hakuna Madini yeyote ya maana ni ubangaizaji tuu.

Hizo Nchi kwenye list hapo Zina Madini sio mchezo,Zambia haipo ni Kwa vile Ina aina mbili za Madini tuu zinazopatikana Kwa wingi japo sio wingi wa kama Congo na Zimbabwe.
Ni vizuri kutafakari kwanza, ni kweli Tanzania haimo kwenye uzalishaji wa madini katika hizo nchi bora kumi zilizo tajwa. Watu lugha inatupa shida. Hapo hawajataja nchi zenye madini bali wamesema "Mineral producing Country"
Tujiulize nini maana ya "Producing?" Ni uzalishaji! Tayari uchimbaji unafanyika na unaendelea kufanyika.
Hii ni tofauti wangesema nchi zilizo na madini kwa wingi ambayo hayajachimbwa.

Tanzania tunamadini lakini bado tumeyahifadhi, sehemu kubwa ni wachimbaji wadogo ambao wameruhusiwa ili kujikimu kimaisha.

Hii ilitokana na Mwl. Nyerere alie zuia uchimbaji wa madini, kwa kauli kuwa wawekezaji walikuja wakitaka kufaidika wao tu. Hivyo Nyerere akasema ni heri kutokuwa na uchimbaji mkubwa alifunga migodi yote ili kuhifadhi madini yetu, kizazi kijacho kikiwa na uwezo basi kitafaidi hayo madini.

Ndipo maeneo mengi yaliyo na madini ziliwekwa kambi za jeshi. Mfano Chabhakali huko Musoma na kadhalika. Pia Maeneo mengine ya madini zilianzishwa mbuga za wanyama au hifadhi za Taifa.

Japo Mkapa aliingia na kuanza kuruhusu baadhi ya makampuni makubwa kuchimba madini lakini bado maeneo mengi ya madini yako katika hifadhi.

Nadhani ulimsikia Mama Rais Samia akisema uchimbaji wa madini maeneo ya hifadhi utafanyika tu hata iweje. Japo sasa hiyo kauli haisemi tena. Nadhani wakubwa walimminya kuwa mama kuna taratibu za kiinchi usiguse madini yaliyoko ktk hifadhi. Hili naongea tu.

Kudai tungekuwa na ma settlers, hii ni kutofahamu historia ya Tanganyika. Mjerumani aliichukua Tannganyika kama nchi yake yaani colony. Na ni yeye alieanza ugunduzi na uchimbaji wa madini. Mjerumani ana ramani baadhi ya madini Tanzania. Lakini kutokana na vita ya kwanza ya dunia Mjerumani alishindwa hivyo Tanganyika ikaondolewa mikononi mwa ujerumani na kufanywa "Protectorate under British" Mwingereza alipewa Tanganyika si kuitawala bali aiwezeshe baadae tujitawale. Haya yalikuwa maamuzi ya League of Nations.

Ndo maana tulipotaka uhuru ilibidi Nyerere aende Umoja wa Mataifa kusema sasa tuko tayari kujitawala ili Mwingereza aambiwe atupe uhuru wetu. Hivyo Mwingereza hakuwa amewekeza Tanzania kwani alijua ataondoka kwa mujibu wa makubaliano. Kisha tukapewa uhuru wetu. Sasa ni wapi settlers wangekuja Tanzania tena?

Ni vizuri kujua historia ya jambo kabla ya kujieleza. Mwingereza aligundua mafuta Uganda miaka mingi, lakini hata mseveni alipoingia madarakani aligoma kusifanyike chochote mpaka hapo watu wake au waganda watakapokuwa na uwezo wa elimu ya mafuta.

Hivyo Tanzania inamadini mengi tu lakini tunayalinda madini yetu kwa kizazi kijacho. Ndo maana hatuna uzalishaji mkubwa kuigizwa ktk hizo nchi zinazofanyika uchimbaji na makampuni au mashirika makubwa.
Jiulize japo hizo nchi uchimbaji unafanyika kwa kiwango kikubwa je zimefaidika nini? Nigeria inamafuta mengi kuzidi hata baadhi ya nchi arabuni lakini haifaidiki. Wanaibiwa na kusifiwa tu kuwa wanamafuta.

Hatutaki sifa za kijinga kuwa tuna uzalishaji mkubwa wa madini huku tukiibiwa. Ni ujinga tu. Tanzania ina madini mengi. Ila hatuko katika uzalishaji mkubwa wa madini. Tusichanganye! (kimombo ni shida Ha ha ha!)
 
Madini yapi mliyonayo Kwa wingi yaliyohifadhiwa kushinda hizo Nchi kwenye list ? Taja hayo madini na leta data maana nyie ndio mumemeza mambo ambayo hama uhakika nayo.
 
Utazalisha kitu ambacho huna? 😜😜😜.

Eti wingi wa hazina,hazina ipi tuliyonayo Tzn hapa?
Akili gani unatumia au unabisha tuu baada ya kuvimbiwa ugali wa usiku.
 
Attachments

  • Screenshot_20230307-213141_Google.jpg
    Screenshot_20230307-213141_Google.jpg
    329.4 KB · Views: 6
Madini yapi mliyonayo Kwa wingi yaliyohifadhiwa kushinda hizo Nchi kwenye list ? Taja hayo madini na leta data maana nyie ndio mumemeza mambo ambayo hama uhakika nayo.
Acha ubishi jitahid kujifunza kwa wengine ttzo lk umekuja kubishana, TZ ni 4th largest producer wa GOLD AFRICA.
 
Attachments

  • Screenshot_20230307-213557_Chrome.jpg
    Screenshot_20230307-213557_Chrome.jpg
    673 KB · Views: 7
Kwa hiyo Msumbiji wanaweza izidi Nigeria au Algeria Gas? Au Angola? Kwanza haipo hata 10 Bora Zenye reserves kubwa licha ya kuwa walau Wana reserves mara 3 ya Tanzania.

Hapa Tanzania haitafika kokote ,55trilion cubic ni peanut hamna kitu hapo ndio maana tunabembeleza investors..

Kwa hiyo acheni porojo za ooh sijui tuna Madini mengi na blaa blaa kibao..

Hizo Nchi kwenye List sio tuu Zina aina Moja Bali aina kadhaa za Madini valuable.
Mkuu'ChoiceVariable', Eti unasema...?
Gesi ya Msumbiji? Algeria au Egypt wana kiasi hicho cha gesi? Hebu tafuta takwimu ulinganishe.
Egypt wana madini gani mengine, unajua? Libya wana nini zaidi ya mafuta?

Madini ya Ghana, unajuwa ni nini? Mafuta kidogo sana, dhahabu, basi,...nini kingine unajua?

Hiyo 55 tuliyonayo, tungekuwa ni watu tunaojitambua (hapana niseme, tungekuwa na viongozi wanaojuwa na wakawa na uchungu juu ya nchi yetu hii, zingeifikisha mbali sana Tanzania kwa wingi wetu huu tulio nao.

Hata haya ma-'graphite' yanayozolewa watu wakati huu kama takataka bila ya sisi kujua kitu kuhusu umhimu wake, na ile Helium, au ulishasahu kwamba tunayo helium ya kutosha kabisa, ambayo sasa duniani ni ya mhimu kipekee; yote haya, kama viongozi wetu wangekuwa ni watu wenye akili, tusingekosa kuwemo kwenye orodha ile.

Ile gesi ile, kwa kuanzia tungetengeneza mbolea. Soko la mbolea Afirca pekee ingetosha kabisa kutupa manufaa.
 
Acha ubishi jitahid kujifunza kwa wengine ttzo lk umekuja kubishana, TZ ni 4th largest producer wa GOLD AFRICA.
Sasa hapa ndio Kuna nini Cha maana umeweka?
Umewahi ona Mgodi mkubwa Tanzania wa gold kama iliyopo South Africa au Ghana?

Kuna mdau kaeleza vizuri hapo Juu ila Kwa sababu mna vichwa vya mbuzi endeleeni kumezeshwa ujinga wenu..
 
Mkuu'ChoiceVariable', Eti unasema...?
Gesi ya Msumbiji? Algeria au Egypt wana kiasi hicho cha gesi? Hebu tafuta takwimu ulinganishe.
Egypt wana madini gani mengine, unajua? Libya wana nini zaidi ya mafuta?

Madini ya Ghana, unajuwa ni nini? Mafuta kidogo sana, dhahabu, basi,...nini kingine unajua?

Hiyo 55 tuliyonayo, tungekuwa ni watu tunaojitambua (hapana niseme, tungekuwa na viongozi wanaojuwa na wakawa na uchungu juu ya nchi yetu hii, zingeifikisha mbali sana Tanzania kwa wingi wetu huu tulio nao.

Hata haya ma-'graphite' yanayozolewa watu wakati huu kama takataka bila ya sisi kujua kitu kuhusu umhimu wake, na ile Helium, au ulishasahu kwamba tunayo helium ya kutosha kabisa, ambayo sasa duniani ni ya mhimu kipekee; yote haya, kama viongozi wetu wangekuwa ni watu wenye akili, tusingekosa kuwemo kwenye orodha ile.

Ile gesi ile, kwa kuanzia tungetengeneza mbolea. Soko la mbolea Afirca pekee ingetosha kabisa kutupa manufaa.
Anaemua Cha kufanya ni mwekezaji wewe uamue una mtaji? Una Teknolojia? Una soko? Subiria Cha kupewa..

Hizo Nchi kwenye list Zina zaidi ya mafuta unayoyajua wewe..

Kama wangeangalia mafuta pekee , kwenye list ungeikuta Equatorial Guinea.
 
Back
Top Bottom