Top 10 za shahada za vyuo vikuu ambazo wahitimi wanajuta kusoma.

Unajutaje kusoma Marketing!!
Hii course mimi imenipa maisha;watu wana Biashara lakini hawajui jinsi ya kutafuta masoko,kufanya utafiti wa kimasoko,kuunda na kulinda Brand zao nk.Shida Watanzania wengi hasa graduates wana mindsets za kuajiriwa sana!!!
Imekupa Maisha gani Wewe leo ukidondoka watu wataanza kuomba Picha yako
 
Kigezo cha "BABA KASEMA" Sisi ni Wale hao usijilinganishe nao
Ndio Mawazo yenu hayo siku zote. Ila amini usiamini sikuingizwa na mtu ni vile tu taaluma ambazo TAA walikuwa wanazitaka na mim nilikuwa nayo. Afu tulikuwa wachache. Mi nakumbuka wakati nafanya usahili wa jkt, watu wenye degree ya Sociology tulikuwa wawili tu, wilaya mbili na manispaa moja, Na tulipita ivo ivo.

Jifunzeni kujiongeza ushajua kwenu kijijini, hakuna sehemu yoyote unajitolea haya wakitaka kukuajiri taarifa zako wanapataje?

Watu wa Sociology hufiti sana kwenye sector za usalama, aya ww upo uko kijijini wanakufanyia vetting sangapi?

Vijana wenzangu tujiongeze hata kama jkt haiajiri lakini kile cheti muhimu.
 
Mwaka 2023 au unazungumzia 1971?
 
Mkuu ni mwaka sasa nipo najitolea ofisi fulani ya mkurugenzi kama afisa mtendaji lakini naambulia patupu hizi kozi za political sciance jau sana 😢 😅
 
Baada ya HAPO 2023 ukaajiriwa TAA, na Gamba lako la Six au umetoka kwa mujibu 2022 alafu 2023 una degree ya sociology tayari TAA wakakuweka?
2022 ndo nimehitimu, 2022 hiyo hiyo nikaingia jkt.
Najua utasema cheti kilikuwa hakijatoka, nilidownload matokeo tena hata semester ya pili mwaka wa mwisho matokeo yalikuwa hayajatoka, nilikuwa naamini kabisa kuwa sitapita kwakuwa sikuwa na document official lakini hilo halikunifanya nisiende kujaribu na bahati zuri nikapata nafasi.

Nisingeweza kuingilia cheti cha form 6 kwa sababu kigezo cha umri kilikuwa kinanitupa mkono na walikuwa wanazingatia sana.
 
Sawa Mkuu nimekuelewa hongera kwa kujipambania, kwa HIO sasa hivi bado upo TAA?
 
Mshukuru Mungu kuna watu wamemaliza miaka 7 nyuma na wapo kitaa tu ni jobless kaka
 
Kweli kabisa me namin ajira inapatikana kwa vitu vitatu.1.Connection 2.Bahati 3.Kuonga.
 
Mkuu watu wa business marketing walivyojaa kwenye makampuni ya biashara, nadhani kila taasisi ya biashara hawa ndo hawakosekani labda ungewaweka hapo human resources..n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…