Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Nina list yangu (Top 5) ya Magari kutoka JP, yaliyotengenezwa kuanzia 2005 hadi 2015, yenye utumiaji mzuri wa mafuta na Reliable. Mnaionaje?
1. Toyota Vitz /Yaris 2010 - 2013.
Hapa naongelea 2nd na 3rd generation, especially engine ya 1.3L petrol (1NR FE), rahisi sana kupata 14 km/L hadi 16 km/L mjini, na kwa highway itapanda zaidi.
2. Honda Fit/ Jazz 2011 - 2014
Hizi pia ni 2nd gen na kuanzia 2013 3rd gen. Reliable na very efficient engine ya 1.3 L i-VTEC. Kuvuka 18 km/L mjini bila kuzima AC ni kawaida.
3. Mazda Demio/ Mazda 2 2012-2014
Hii facelift yenye 1.3 L SkyActiv G Petrol, rahisi sana Kuvuka nayo 18 km/L.
4. Suzuki Swift 2010 - 2013
Third generation ya Swift, yenye 1.2 L petrol, K12B engine, ni Reliable na efficient sana, inavuka 16 km/L bila mateso.
5. Nissan Note 2012-15
Nissan Note nayo Ina heshima yake. Hii second gen Ina 1.2L HR12DE engine, inavuka 20 km/L kihurahisi kabisa kwa 2WD.
Nimetaja gari moja moja kwa kila kampuni, ingawa kampuni moja unaweza kua na Magari mazuri zaidi. Mfano Toyota, ana Corolla family nazo Kali, Passo etc., au Suzuki Alto, etc.
Ndio hivo.