Top 5 yangu ya Magari used ya Kijapan yanayotumia Mafuta kidogo na Reliable (Non Hybrid)!

Top 5 yangu ya Magari used ya Kijapan yanayotumia Mafuta kidogo na Reliable (Non Hybrid)!

Ukanda wetu bado tupo na gari za kizamani kama Nigeria hao Wazimbabwe wanaopitisha gari Malawi mpaka kwao wananunua sana hybrid car saza hivi sema sisi TRA kwa baadhi ya magari ni kikwazo sana.
Sio kwa baadhi ya Magari, TRA ni kikwazo kwa Magari yote, ya sasa na yazamani, Ww kuuziwa bajaji million 12 hushangai? Kuuziwa kirikuu m.17 je? Nonsense Eti pkpk m 3.3 tena n hizi shuka tukaze za china 😆.
Kibongo bongo bado kumiliki gari n km anasa hivi wakati kwa wenzetu n basic need, reasonable price ili kila m2 amiliki.
 
Ukanda wetu bado tupo na gari za kizamani kama Nigeria hao Wazimbabwe wanaopitisha gari Malawi mpaka kwao wananunua sana hybrid car saza hivi sema sisi TRA kwa baadhi ya magari ni kikwazo sana.
Ukigusa ya 2000+ utabaki unacheka mwenyewe
 
Ukigusa ya 2000+ utabaki unacheka mwenyewe
Sijui nani kawaroga hao jamaa wakati hizo gari zina bei ya kawaida na zinakua chini ya Warranty mtu mpaka aje kuanza kununua parts sio leo ila wao hayo hawataki yaingie kwa kuweka kodi kubwa rav 4 hapa za miaka ya karibuni bei sio kubwa watu wanauliza za 2008 mpaka 2011 kwa sababu ya kodi..
 
Tra imefanya tuone gari nzuri tu zikipita kwenda nchi za wenzetu huku sisi tunakimbizana na ist, hebu fikiri ist kwa sasa unaipata kwa 18-20m
Unakuta Mzimbabwe au Mzambia wewe Mtanzania una mzunguko mkubwa wa biashara kuliko yeye ila yeye ataendesha gari nzuri kuliko Wajamaa na pia maeneo yao mengi wanajenga kwenye eneo la heka moja bara bara na mitaro ya maji taka ipo kwetu sasa kodi kubwa ila huduma za jamii mbovu mbovu..
 
Unakuta Mzimbabwe au Mzambia wewe Mtanzania una mzunguko mkubwa wa biashara kuliko yeye ila yeye ataendesha gari nzuri kuliko Wajamaa na pia maeneo yao mengi wanajenga kwenye eneo la heka moja bara bara na mitaro ya maji taka ipo kwetu sasa kodi kubwa ila huduma za jamii mbovu mbovu

Unakuta Mzimbabwe au Mzambia wewe Mtanzania una mzunguko mkubwa wa biashara kuliko yeye ila yeye ataendesha gari nzuri kuliko Wajamaa na pia maeneo yao mengi wanajenga kwenye eneo la heka moja bara bara na mitaro ya maji taka ipo kwetu sasa kodi kubwa ila huduma za jamii mbovu mbovu..
Hapo kwenye viwanja ndio usiseme kiwanja cha 20x18 au20x15 yaani ni aibu
 
Hapo kwenye viwanja ndio usiseme kiwanja cha 20x18 au20x15 yaani ni aibu
Waende Bulawayo,Harare waone Wazim wanavyoishi wengi vipato vya kawaida tu eneo kubwa ila Watanganyika sasa maneno mengi tupo kwenye 10×10..
 
Ukigusa ya 2000+ utabaki unacheka mwenyewe
Hii nilipelela Zambia kodi alilipa ndogo sana ni
20260924_161601.jpg
20260924_161217.jpg
20260924_161350.jpg
Corolla 1.8 ya 2021 SA ilinunuliwa rand 245,000.
 
Kibongo bongo ushuru Mil 21+
Daah aisee Zambia haikuzidi 8m nadhani maana Fortuner ililipiwa sawa na Tsh 12m ilikua ya 2022 na Hilux ya 2023 ilikua sawa na Tsh 8m mpaka 10m wao wanaangalia GVM sio mwaka ukileta ya zamani unaweza kulipia kodi sawa na toleo jipya..
 
Wazambia wao magari sio big ishu unaweza kuliingiza huku unadaiwa kodi na gari ikapita sio mizigo hapo ndio changamoto..
 
Back
Top Bottom