politics observer
JF-Expert Member
- Jun 18, 2024
- 548
- 701
Sio kwa baadhi ya Magari, TRA ni kikwazo kwa Magari yote, ya sasa na yazamani, Ww kuuziwa bajaji million 12 hushangai? Kuuziwa kirikuu m.17 je? Nonsense Eti pkpk m 3.3 tena n hizi shuka tukaze za china 😆.Ukanda wetu bado tupo na gari za kizamani kama Nigeria hao Wazimbabwe wanaopitisha gari Malawi mpaka kwao wananunua sana hybrid car saza hivi sema sisi TRA kwa baadhi ya magari ni kikwazo sana.
Ukiwa na mojawapo kwetu uswazi Bi. Mkubwa anaingia na Kibango kwenye shughuli.MM acha fix, hizo chuma au Kutu? Uwiiih 😂😂😂
😂😂😂Ukiwa na mojawapo kwetu uswazi Bi. Mkubwa anaingia na Kibango kwenye shughuli.
Una ufala mwingi, nimecheka sana hahaHizo Gari au Vitoyo vya kuchezea watoto?
Wamiliki msiniseme, nina kifafuro sugu, 😂😂😂😂
😂😂😂 noma sanaUna ufala mwingi, nimecheka sana haha
Ukigusa ya 2000+ utabaki unacheka mwenyeweUkanda wetu bado tupo na gari za kizamani kama Nigeria hao Wazimbabwe wanaopitisha gari Malawi mpaka kwao wananunua sana hybrid car saza hivi sema sisi TRA kwa baadhi ya magari ni kikwazo sana.
Halafu wanataka wananchi wawe wazalendoTra imefanya tuone gari nzuri tu zikipita kwenda nchi za wenzetu huku sisi tunakimbizana na ist, hebu fikiri ist kwa sasa unaipata kwa 18-20m
Sijui nani kawaroga hao jamaa wakati hizo gari zina bei ya kawaida na zinakua chini ya Warranty mtu mpaka aje kuanza kununua parts sio leo ila wao hayo hawataki yaingie kwa kuweka kodi kubwa rav 4 hapa za miaka ya karibuni bei sio kubwa watu wanauliza za 2008 mpaka 2011 kwa sababu ya kodi..Ukigusa ya 2000+ utabaki unacheka mwenyewe
Unakuta Mzimbabwe au Mzambia wewe Mtanzania una mzunguko mkubwa wa biashara kuliko yeye ila yeye ataendesha gari nzuri kuliko Wajamaa na pia maeneo yao mengi wanajenga kwenye eneo la heka moja bara bara na mitaro ya maji taka ipo kwetu sasa kodi kubwa ila huduma za jamii mbovu mbovu..Tra imefanya tuone gari nzuri tu zikipita kwenda nchi za wenzetu huku sisi tunakimbizana na ist, hebu fikiri ist kwa sasa unaipata kwa 18-20m
Unakuta Mzimbabwe au Mzambia wewe Mtanzania una mzunguko mkubwa wa biashara kuliko yeye ila yeye ataendesha gari nzuri kuliko Wajamaa na pia maeneo yao mengi wanajenga kwenye eneo la heka moja bara bara na mitaro ya maji taka ipo kwetu sasa kodi kubwa ila huduma za jamii mbovu mbovu
Hapo kwenye viwanja ndio usiseme kiwanja cha 20x18 au20x15 yaani ni aibuUnakuta Mzimbabwe au Mzambia wewe Mtanzania una mzunguko mkubwa wa biashara kuliko yeye ila yeye ataendesha gari nzuri kuliko Wajamaa na pia maeneo yao mengi wanajenga kwenye eneo la heka moja bara bara na mitaro ya maji taka ipo kwetu sasa kodi kubwa ila huduma za jamii mbovu mbovu..
Waende Bulawayo,Harare waone Wazim wanavyoishi wengi vipato vya kawaida tu eneo kubwa ila Watanganyika sasa maneno mengi tupo kwenye 10×10..Hapo kwenye viwanja ndio usiseme kiwanja cha 20x18 au20x15 yaani ni aibu
Hii nilipelela Zambia kodi alilipa ndogo sana niUkigusa ya 2000+ utabaki unacheka mwenyewe
Kibongo bongo ushuru Mil 21+Hii nilipelela Zambia kodi alilipa ndogo sana niView attachment 3677861View attachment 3677862View attachment 3677863 Corolla 1.8 ya 2021 SA ilinunuliwa rand 245,000.
Daah aisee Zambia haikuzidi 8m nadhani maana Fortuner ililipiwa sawa na Tsh 12m ilikua ya 2022 na Hilux ya 2023 ilikua sawa na Tsh 8m mpaka 10m wao wanaangalia GVM sio mwaka ukileta ya zamani unaweza kulipia kodi sawa na toleo jipya..Kibongo bongo ushuru Mil 21+