Top five ya wasanii wakali wa Hip Hop Tanzania

Upo njema Mkuu ,
Mtoe zaidi weka Nash mc a.k.a Nash dagama Nash kaskazini Nash misimamo Nash haram.
Yes
Hata mabadiliko yako nayakubali
Ujue ilitakiwa at lrast tupewe top 8 hahahaha!
 


Tanzania kuna wana Hip Hop au waigizaji tu?
 
Yes
Hata mabadiliko yako nayakubali
Ujue ilitakiwa at lrast tupewe top 8 hahahaha!
Sawa-sawa,
Hip hop chakula cha ubongo,inakufikirisha inakuburidisha na Maarifa pia.
Kubwa zaiidi au utamu wa Hip hop pale unapolifumbua au kuling'amua neno lililofichwa.

Pamoja Mkuu!
 
1 one incredible(tamaduni
2 Nikki mbishi(tamaduni
3 sterio(chunda badi singasinga tamaduni
4 songa (tamaduni
5 fidq
 
Kama ni kwa mtazamo wako Mkuu
Hatukupingi unauhuru wa kuchagua chochote hata kama kipo hovyo,
Labda tu tutakachofanya ni kukurekebisha na kukuweka sawa.

Yangu hiyo;
1.Fid q
2.Nikki Mbishi.
3.Nash mc
4.one incredible .
5.Songa
 
Umebugi men
 
Nani shabik wa joh afu ana hela gan huyo chali yangu naona kama ume fula kwa hasiara arifu aisee

Yaani umekuja pazuri sana

mkuu...neno kubebwa, halina mantiki hapo, kubali tu

nani anawabeba, mbebaji lengo lake ni nini? halafu mbebaji akiwabeba anapata raha gani? au mbebaji anapata faida gani??
 
Ni haki yenu kikatiba kutoa maoni.
 
1.Kala Jeremiah

2.Fid q

3.Nash Mc

4 . Nikki Mbishi

5.Roma Mkatholic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…