Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse

Status
Not open for further replies.
Ni kweli dada angu, muda sana ila nashukuru tumempata The bold ambaye anazifuatilia hizi no longer classified issues kwaajili ya wengi ambao hawaelewi au hawajui hasa tumo katika aina gani ya sayari. Maisha yetu yamekuwa influenced sana na vikundi special vya mataifa makubwa ili kutimiza au kulinda maslahi yao popote pale duniani.
Tuko pamoja mkuu
 
Kabisa Mkuu! Umenena vyema sana..
Hawa jamaa hawana dini, rafiki, wala adui ktk terms zote hawana. Chamsingi kwao ni maslahi yao tu, nani atatupatia nn basi tosha. Ndo mana always nasema kuwashinda ni kuwazidi kimarifa tu haswa ya utambuzi, sasa walivyotuzidi kiteknolojia hata haya wanayacheki tu. Ila mwiko kwetu ni kukata tamaa tu, tusiwaige kwa lolote lile tujiongoze wenyewe tu kila nyanja, kiintelijensia, ktk siasa, tamaduni, uchumi na kijamii pasi wao kujua tulifanyalo. Nilikuwa naota tu, sorry.
 
Mkuu naomba uheshim jukwaa,na pia umheshim huyu bwana hivi huon aibu kwel?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Acha kuniperemba najua natakiwa niandae ng'ombe 70!! Acha utani kabisa na white Masai [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nitaomba wazee wapunguze makali baby darling [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Japo ng'ombe 50 sio mbaya.
Hahahaaaaa
 
Halafu the Bold nikuulize swali la kizushi ni kwa nini MI6 hawarelease past mission zao kama CIA? Au wao wanatumia style ya kurealease huku wanaingiza pesa kwa movie za James Bond 007?

Maana kwenye library yangu sidhani kama kuna movie yoyote ya Bond inayokosekana.
 
Hahahah! Movie za james bond zina details nyingi sana pamoja na 'chumvi'..

MI6 na MI5 bado sijawahi kusikia kuweka hadharani mafaili ya siri nzito kuhusu shughulo zao ingawa siku za karibuni nimeona wameanza kuweka utaratibu wa kuwa na Kumbukumbu za Usalama wa Taifa (National Security Archives) lakini kadiri nilivyoangalia sijaona yale mambo mazito mazito yanayotia hamasa watu kufuatilia.

Nadhani hii pia inachangiwa na raia wa Uingereza kutokupenda "kudeka" sana kwa serikali yao. Unajua kingine kinachowaponza CIA na serikali ya marekank ni vile raia wake wanapenda sana "kudeka" ile kujifanya wanasimamia haki zao hata kama wanahatarisha siri za nchi. Ndio sababu hata ya kutungwa kwa "Freedom of Information Acy" ili kumaliza malalamiko ya wamarekanj kuhusu "haki" yao ya kujua "mwenendo" wa nchi yao..

Ila huko mbele tutegemee kuanza kuvuja au kuwekwa hadharani kisheria mafaili yahusuyo shughuli za MI6 na MI5.
 
Mkuu naomba uheshim jukwaa,na pia umheshim huyu bwana hivi huon aibu kwel?


Nani sasa anaetakiwa kujiheshimu, mimi au yeye mleta mada anaejibu matusi bila hoja?

Ningependa kumuona mtunzi huyu anakomaa kitamthiliya, hivyo ni lazima ajifunze mambo ya proper attribution, claims of copyright na ku avoid plagiarism.

Huwezi kubandua hekaya za watu kutoka maktaba ya rekodi za makumbusho Washington University, ukayabandika mitandaoni na kudai haki miliki.

Dai lake la haki miliki amelifananisisha na kitabu cha Msekwa kuhusu Nyerere, yani non-fiction.

Huyu, tofauti na Msekwa, hana ISBN wala registered copyright lakini kasisitiza biti kali kwamba watu wasitumie hii hadithi.

Sasa katoa chanzo kimoja ku cover tunzi nzima, je, ili adai haki miliki, atueleze, yepi ya kwake ya kichwani, yepi kameza public archives katema hapa kama yalivyo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nitaomba wazee wapunguze makali baby darling [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Japo ng'ombe 50 sio mbaya.
Hahahaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mwambie mkwe anihurumie walahi..
Zisizidi ng'ombe 50 hahahahahaha
Ila najua tu mkwe atakomaa 70 [emoji17]
 
watu kama nyie ni mizigo duniani na hasa wengi wenu mmejaa kwenye hili bara la Afrika ndo maana hatuendelei!
Siyo siri mda mwingine najuta sana kuwa na rangi nyeusi ni mtu ambaye hana nidhamu ata kidogoo.

Ebu tuletee basi na ya kwako wewe mpuuzi na mimi ningekuwa Mod sichelewi watu kama nyie kupewa Ban kwa sabanu huna msaada wowote humu zaidi ya kutuletea umbea na ujuaji.
 
Bila shaka Mkuu! Nitafanya hivyo..
 
Hiyo sentensi yako ya mwisho ndicho hakiwezekani. Kufanya jambo bila wao kujua hiyo tufute akilini mwetu, kama tungejianda kama miaka 40 iliyopita kuandaa mitaala ya elimu kwa lugha yetu na kupromote lugha yetu kimataifa na, kuwaendeleza wale wanaoonekana kuwa na vipaji vya mambo mbalimbali, pia kutuma wataalamu wetu na damu changa kwenda kusoma kwenye nchi zilizoendelea za magharibi na kuwatumia hapa nyumbani hakika tungepiga hatua fulani kitechnolojia na kiuchumi. Ila kwasasa haiwezekani whatever We will be doing against them aiming at overtaking them watajua tu mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…