Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse

Status
Not open for further replies.
Muhimu Sana: Tafadhali usiquote Uzi wote kuepusha usumbufu kwa wanaotumia simu

Unaweza tu kunimention kwa kuandika @ The bold katika comment yako nitaiona..

Tuzingatie hilo tafadhali..
Kwa uzi wako The bold umenikuna. Na nimeelewa sorce ya chuki zisizokwisha kati ya USA na Iran. Wengine tulidhani ni U-magharibi na uislam, kumbe ni kwa ajili ya maslahi ya matumbo ya wakubwa!
 
Kwa uzi wako The bold umenikuna. Na nimeelewa sorce ya chuki zisizokwisha kati ya USA na Iran. Wengine tulidhani ni U-magharibi na uislam, kumbe ni kwa ajili ya maslahi ya matumbo ya wakubwa!

Yes! Mataifa mengi yenye chuki na US wengi wao sababu zao ni kutokana na ishu kama hizi.. Kuingilia mambo ya ndani ya nchi za watu..

Ni kama US miaka ya nyuma "walichonga vinyago vingi na sasa vinyago hivyo vimepata uhai vinaanza kuwatisha"..

Afrika tuna mambo ya kujifunza kutokana na matukio kama haya..
 
Nimecheka sana leo, kwakweli you made my christmass, sijaingia JF muda mrefu kwa kutumia Pc sasa leo ndio nimeiona signature yako imeboreshwa kwakeli nimecheka sana.

kuhusu huyo tutusa ni wa kumpotezea tu, mtu asiyethamini vipaji vya wengine hana tofauti na mchawi.
 
Mkuu nakusalimia siku nyingi sana.
 
Mkuu nimekuwa nikiangalia series inaitwa Homeland, na baada ya kusoma hili bandiko lako hapa napata Picha kuwa hawa jamaa wa CIA sio wa kuwachezea hata kidogo.......natamani kujua kama na sisi tuna vitengo vya siri ndani ya TISS au hata jeshini?
TISS wanacho, polisi wanacho. Hawa hasa vitengo vyao wanachunguza hasa watu wanaopinga chama tawala ccm, wanaleta migomo vyuoni na kwenye vyama vya wafanyakazi, kuwashughulikia mashekhe wa uamsho, kuuwa kila anayedhaniwa ni muislamu mwenye msimami mkali, mwanasiasa mwenye msimamo mkali.

Hatuna vitengo vya fitna zakiuchumi kama hawa miamba ya dunia. Vitengo vyakuwalinda viongizi wakienda nyumba ndogo na mahotelini vipo imara sana, sana, wakikushtukia unagonga nyumba ndogo ya mzee, kucha, meno ni halali yao.
 

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hii ni from experience nini?
 
I
Muhimu Sana: Tafadhali usiquote Uzi wote kuepusha usumbufu kwa wanaotumia simu

Unaweza tu kunimention kwa kuandika @ The bold katika comment yako nitaiona..

Tuzingatie hilo tafadhali..

Bora.....maana wanakereka sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…