Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse

Status
Not open for further replies.
The bold hapa ndo unakuja kuona maisha ya Edward Snowden kuna wakati yalikuwa na maana na kuna wakati hayakuwa na maana.
Ukiangalia documentary ya snowden inaonyesha amejaribu kuweka wazi mission kadhaa ambazo zinaweka uchi taarifa za siri za watu wengi hii kitu ilimchukiza sana na ilimfanya apate msongo wa mawazo.
Pili, kuna uzi humu uliwekwa wiki jana ulikuwa unazungumzia kuhusu je taasisi zetu za kiulinzi na kiusalama zinaweza kuendesha vita hizi za kiuchumi na kimtandao, nafikiri wengi tukisoma na kupitia jinsi hawa SAD wanavyofanya kazi tutaona kwa nini tuna safari ndefu sana kuja kuwa First World country maana mpaka uwe hapo fitna kama hizi ni muhimu.
Swali kwetu je tuko tayari kufanya fitna hizi kufika hapo na kuendesha operation kama hizi kwa manufaa ya nchi??

Ahsante sana The bold makala hii naamini itafungua bongo za wengi.
 

mkuu Nifah ubarikiwe sana
 
Unakumbuka Wikileaks ilichokisema kuhusu Tanzania na watu kununuliwa suti?

Kuna kila dalili kuwa hata Tanzania tumepakatwa na hii Mibaba ya CIA. Kama nyumbu vile. Wanatuswaga kama wanataka kutupeleka Kenya kwa miezi 3 kwenda kujifungulia Maasai Mara.

Anachokifa sasa hivi Rais Magufuli (hata kama baadhi hukubaliani navyo) ni kujaribu kutuondoa kwenye magoti ya hao Mibaba na walau tukae chini ya miguu yao. Unajua ukipakatwa maana yake huwezi hata kufurukuta au kujikuna. Enzi zetu tulisema umebanwa kwenye Angle Theta.

Mikataba ya madini yote ni siri.




 
Mkuu sio mitego 21 tuu...

Nilikuwa nasoma makala ya flani Dailymail ya Uk wanadai Castro alisurvive more than 600 assassination attempts...

Kama The Bold akielezea labda achague zile Big mission tena aelezee moja moja manake kila mission ina kashkash lake...

Transcend
 
Tuachane na ya Magufuli, mimi nimecheka zaidi hiyo picha.
Unataka kusema pichani ndiye 'Shah' wetu aliyetoa visima vya mafuta aende kusafisha macho Ulaya?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimecheka sana.
 

Whaaaaat?[emoji87] [emoji134]
Karuka viunzi zaidi ya 600?Dah hamu ya kujua aliwezaje kusurvive inazidi kuongezeka.
Nafikiri aliyenielezea kuhusu missions za CIA dhidi ya mzee kufeli ni 21 alitumia kigezo cha missions kali kati ya hizo 600 na zaidi.

Sure,itabidi achague japo missions 10 kali (akiweza na zaidi) kinagaubaga ilikuwaje kuwaje.
Dah Mzee alikuwa noma sana.
 
Nifah si tulikuwa na mikataba kuwa wataanza kulipa kodi wakianza kupata faida? Hadi wanaondoka, Barrick Gold ya Wa-Canada walikuwa wanapata hasara tu.
Mahoteli makubwa yote yanabadilishwa jina baada ya mwaka wa kuanza kulipa kodi ukifika na kutangaza sasa muwekezaji mpya. Mbona namuona Shah kabisa?

Halafu unakwenda kwao wanakupa mapokezi ya kufa mtu. Mbona wao kama USA wanakuja na kila kitu chao? Wao wanajua There is no free lunch.
 
Nitamuomba The bold moja ya mission iwe ile ya kumtumia mke wa Fidel

ambaye baada ya kushindwa kumuua kwa sumu...Fidel alimpa Pistol akamwambia "kill me as hav been ordered to do so"

Wife alipokea pist kashindwa kumuua jamaa!

Mwisho wife anasema "i just felt i love him and we ended up having sex"

Very interesting assassination attempt!

Natamani The Bold ailete before Dec 25..

Transcend
 
Hivi ni mwanamke gani anayejitambuwa angependa awe na boyfriend/husband bichwa empty?

Mwanamke anayejitambuwa anafurahi akiwa na mwanaume intelligent hata kama mfukoni hakuna kitu.
 
The bold katika ubora wake hongera bro kwa kipaji hizi story kalibia watu wote wanazipenda
Tata hizi story tata, nini matukio halisi, na usisahau jana balozi wa Urusi nchini Uturuki ameuwawa na muuwaji alikuwa anaitaja Alerpo.

CIA job.
The bold katika ubora wake hongera bro kwa kipaji hizi story kalibia watu wote wanazipenda
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…