Top ten Bongo male celebrities (wasanii)

AAh wapi huna ubavu huo.
Sio kwamba huna pesa bali huna ubavu wa kunitumia...bahili
Huwez amini, hayo Marasta ya Bob Marley yameukosha mtima wangu.

Naweza fanya jambo.
 
Muziki sio shule
Utaskia watu nyimbo hazielimishi, japo unaweza kutumika kama chanzo cha maarifa lakini pia ni burudani wazee kaz kwaiyo ni kuskiza unacho hitaji kwa muda muafaka kwahiyo ipigwe mwana mkiwa kwenye shughul ya engagement sio kweli tutaiomba nienjoy
Chat inataka kuwa sawa lakini hainivutii sababu sioni Rapper hata mmoja ina maana Young Younglunya kadevyela
 
Kwani celebrities ni wanamuziki tu, mbona hujawaweka hata actors

Kingine unamuwekaje lavalava, mbosso, billnass na whozu juu ya jux kwenye uselebriti

Au unadhani kuwa celebrity ni kutengeneza hit songs tu mkuu, lazma ushawishi uwe nao
Hiyo ni kwa 2023 waliotrend. Na nimeongelea kwa wasanii tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…