Top ten Bongo male celebrities (wasanii)

Top ten Bongo male celebrities (wasanii)

Tuweke ushabiki pembeni. Nyimbo za kiba zinaishi kuliko za mondi.
Zinaweza zisiwe hit songs lkn ni nzuri, zenye ujumbe murua. Zina maadili na zinasikilizika na rika lote.
Aisee matusi kama ya WCB ukiwa na watu huwezi kusikiliza mambo ya finyia kwa ndani,utaondoka mwenyewe, lakini nyimbo za Kiba fresh sana,hazina matusi na hapitwi na mda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanao anaimba "Natamani kuwa singo ila UPWIRU unakaba koo.. MABINTI wenye vifundo ndio wananitoa"

Then anamalizia..

"Mie mbovu sana wa jambo lile nina ufundi wa kutoshaaa..."

Anaimba hiyo mtt wako utamchekea?

Je ukimkuta anasema "We Zombie..." utamchukia?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom