cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Asante kwa kuliona hiliJe Uzi wako unatuelimisha nini? Hata ukiwa na watu wengi kama mchanga wa bahari dunia tunaiendea wenye akili ndio watatawala haijalishi unatoka kabila gani au unapesa kiasi gani akili ndio itatawala pia kiukweli ktk dunia imestaarabika kuongea makabila watu wanakushanga. Kwani unataka kutambika