Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasukuma na mkoa wa Mara wapi na wapi,wasukuma waliopo mkoa wa Mara ni vibarua.
Hujui kitu, wilaya ya Bunda yote nusu ni wasukuma pamoja na mvunge wa sasa wa Bunda mjini. Kama ulikuwa hujui hata chifu wa Ushashi alikuwa chifu Masanja msukuma, waulize wazee wa huko watakueleza. Msukuma hajawahi kuwa kibarua wa mshashi hata siku moja.
Si
Sipendi ukabila na haina maana ila takwimu rasmi zilizokuwepo miaka 10 iliyopita:
1. Sukuma
2. Nyamwezi
3. Chagga
4. Haya
5. Nyakyusa
Kwa uelewa wangu, wewe ni msukuma!! Hiyo NB uliyoweka ndiyo haswaa lengo lako.Huu ni utafiti(usiokua rasmi) juu ya uwingi wa wazungumzaji wa makabila yaani wale ambao kiasili ni wenyeji wa kabila husika pamoja na wale ambao wamejifunza makabila husika kutokana na mwingiliano wa shughuli mbalimbali za kimaisha.
1. WASUKUMA
-Idadi yao inakadiriwa kuwa zaidi ya milioni 10. Ni kabila pekee linalopatikana zaidi ya mikoa 6. Wasukuma (ukijumlisha na matawi yake kama Wanyamwezi, Waikizu n.k) wanapatikana mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Geita, Simiyu, Tabora na Kigoma pia.
2. WAGOGO
-Wanapatikana kwa wingi mkoani Dodoma. Pia wanapatikana Morogoro/Gairo(huitwa pia Wakaguru). Mkoani Singida wanapatikana wilayani Manyoni (huitwa Wagogo wa Manyoni). Mpakani mwa mikoa ya Dodoma na Iringa pia wanapatikana kwa wingi.
3. WANGONI
Ukijumlisha pamoja na Wandendeule na Wamatengo ambao lughazao huendana sana, basi Wangoni wanafanya kuwa kabila la tatu kwa uwingi Tanzania. Wanapatikana Mkoani Ruvuma.
4. WAMASAI
Hawa wanapatikana Mkoani Arusha pamoja na baadhi ya wilaya za mkoa wa Manyara kama Simanjiro na Kiteto.
5. WARANGI
-Ukiwajumlisha pamoja na matawi yake kama Waburunge na Wanguu hawa nao wanapaswa kuingia kwenye top ten.Wanapatikana kwa wingi wilaya ya Kondoa na Chemba. Pia wanapatikana maeneo ya Mpakani mwa mkoa wa Manyara na Dodoma.
List Itaendelea...
NB: NAJUA UTASHANGAA KUTOYAONA MAKABILA YA WANYAKYUSA, WAHAYA NA WACHAGA HAPO JUU, UKWELI NI KUWA KWA KIPIMO CHA UWINGI WANAPWAYA SANA ILA WAMEFANIKIWA KWENYE UMAARUFU NA ELIMU TU.
Karibuni kwa mjadala
Wengi ambao siyo Wasukuma huhesabu Wanyantuzu kama kabila dogo ndani ya Wasukuma, ndiyo maana nikasema labda.....ulikatumbafu namhala ebhe!!Nani alikwambia unyantuzu ni kablia ?
Wala sio ndoto.Yaani ni nusu ya Watanzania wote?
Day dreaming my friend!
Ulimaanisha Settler colony bila shakaWakenya wameendelea sababu wao after independence wali adopt capitalist mode of economy sisi tukakumbatia ujamaa, Hadi tukawekewa vikwazo na IMF, na WB had tulipokubali conditions zao it was like starting from zero wakati wakenya wanachanja mbunga sisi ndo tunaanza. So maendeleo ya Kenya hayahusiki na ukabila ni wao na strategy zao pia jua ile ilikuwa settler economy ndio Mana ina balozi nyingi na mashirika makubwa how can you compare with Tanzania
Kwa hiyo wanyaturu walikuwa hawaolewi na makabila mengine ?Hata uingerza kwa mfano kuna wa welsh wana lugha yao na wascotish nao pia. Mwingereza halisi ni hawa wa london napembezoni. Na ukabila upo sana. Tajiri wa ukoo wa malkia ambao ni waingereza hawezi kuoa mwelsh au mscot. Kumbuka issue ya mtoto wa malkia kuoa ukoo usiojulikana.SIKU HIZI NDIO WANAVUNJA MIIKO KAMA VILE MNYATURU KUOA AU KUOLEWA NA MMASAI AU MCHAGA AU MMAKONDE
Matawi ya wasukuma ni wanyamwezi, wasumbwa, wazinza/warongo, siyo waikizu. Hapo mtoa post amechemsha. Aidha, wasukuma wanaishia kwa wingi katika mikoa ya mara, katavi na Singida
Hasipokuelewa usimjibu tenaUmeandika povu jingi Hadi kumuingiza magufuli ili iweje jikite kwenye mada please. Wakati watanzania tuna mdodoro wa uchumi had watu wanakosa nguo na sabuni Kenya wanapeta huku sabuni shida utajilingamishaje nao. Kenya wametuzidi mengi na Wala haihusiani na ukabila Kenya grabs a lot of opportunities compared na Watanzania Wana largest diaspora kuliko wengine Africa mashariki sisi tumelala, Kuna mtanzania yoyote aliye invest heavily Kama Wakenya hapa Hadi Wana ma benki. Maendeleo hayana ukabila it's a matter of working hard and grabbing opportunities na innovation basi hzo the rest na blah blah zisizo na kichwa.
Ujamaa ni first exuse inayo affect Hili taifa ndo Mana nchi ka Chinese iliutupilia mbali, nchi nyingi za Ujamaa ziko poor compared na nyingine kuanzia uchumi, democracy Hadi haki za binadamu
Matawi ya wasukuma ni wanyamwezi, wasumbwa, wazinza/warongo, siyo waikizu. Hapo mtoa post amechemsha. Aidha, wasukuma wanaishia kwa wingi katika mikoa ya mara, katavi na Singida
Kwa waliosoma historia wanajua hata Germany na Italy ilibidi zivunje himaya za kikabila ili kutengeneza taifa moja lenye nguvu kama tunayoyaona leoNakuunga mkono dada angu 100% Afrika haiendelei kwa huu ujinga wa kung'ang'ania mambo yasiyo na maana kwa kisingizio cha mila. Kuna mila nzuri tuziendeleze na kuna mila mbaya tuziache. Kuendeleza ukabila ni miongoni mwa mila mbaya na potofu lazima tuachane nayo. Hakuna ukabila "positive" siku zote watu wanaoshabikia ukabila ni "makaburu" tu.
Acha kupotosha jamii. Mimi ni mzaramo.Hivi unajua ukitoa wasukuma,Mkoa wenye watu pekee ambao ni kabila moja tu utawaweka namba ngapi??.
Mkoa wa Iringa wote ni wahehe hawana mchanganyiko wa kabila lolote.
100% wanaoongea kikabila kwenye halaiki yenye mchanganyiko wa watu tofauti tofauti wanamteta mtu au wanaongea jambo lisilo sahihiHaya makabila yanatakiwa yafe kabisa.
Ninafurahi kizazi cha sasa ni cha waswahili pure wasio na ukabila ukabila.
Hata kuongea ongea lugha za kikabila huwa sipendi kabisa. Ni chanzo cha ukabila na ubaguzi.
Hasa wasukuma wanapenda sana kuongea kikabila bila kujali muktadha. Wanachoongea chenyewe ni upuuzi. Majungu tu na ujinga ujinga.
Kwan mkulu unamuonaje ?sasa hayo ni makabila makubwa au makabila yanayoongoza kwa kuwa na watu ignorant?
Highest level of ignorance is potrayed in a broad daylightWala sio ndoto.
Unaweza kustaajabu tukawa hata tunaikaribia robo.
.
Morogoro tumejaa kila sehemu, Dodoma, Singida soon tunaiteka, Katavi ni yetu, Rukwa hata hatuhitaji mjadala, Mbeya hadi wanalia maana ni new territory!
.
Kila sehemu tulipo tunateka vijiji vinakuwa vyetu, nitakupa mfano hai kijiji cha Kitila Mkumbo ambako ni sehemu asili ya wanyiramba ukienda unawatafuta. Ni ulimhola bhabha, wamisha mhola, eng'washi n.k [emoji23]
Usiumie ndiyo hali halisi
Acha uzwazwa,Rais wetu ana uwezo wa kuongea lugha mbalimbali kubwa na ndogo hapa nchini na anaongea popote pale anapokutana na watu wa kabila husika,hivyo bado ni mtu ambaye anaendelea kuunganisha makabila tofauti tofauti.Sasa kama Rais anahutubia kwa kisukuma, kwann wana wasijimwae mwae kuongelea makabila.