Top Ten makabila yenye wazungumzaji wengi Tanzania

Top Ten makabila yenye wazungumzaji wengi Tanzania

Sio vibaya kuongea makabila, sio vibaya hata kidogo. Ni African inheritance hatuwezi kuikataa wala kuikimbia, muafrika anajitanabaisha kwa ethnicity yake, hivyo kusema sisi wapogoro na wale waluguru is not an issue coz hata zamani makabila yalikuwa yana tamaduni za kutaniana.

Inategemea mtu anaongelea makabila/ukabila kwa minajili gani. Hatuwezi kuwa westernised kiasi cha kusahau ya kwetu, na makabila ni sehemu ya SISI.
Hata uingerza kwa mfano kuna wa welsh wana lugha yao na wascotish nao pia. Mwingereza halisi ni hawa wa london napembezoni. Na ukabila upo sana. Tajiri wa ukoo wa malkia ambao ni waingereza hawezi kuoa mwelsh au mscot. Kumbuka issue ya mtoto wa malkia kuoa ukoo usiojulikana.SIKU HIZI NDIO WANAVUNJA MIIKO KAMA VILE MNYATURU KUOA AU KUOLEWA NA MMASAI AU MCHAGA AU MMAKONDE
 
Najua vizuri hzo Mambo wewe uki read between lines una hidden agenda mbona kipindi Cha nyuma hizi Mambo haziku exist. Hata nyumbu Serengeti na mbuga yoyote ni wengi je Ina add any value?
Uwingi wa kitu hafu kiwe un productive tu ni useless pia.
Useless !?? Una maana gani kulitumia neno hili ?
 
Si

Sipendi ukabila na haina maana ila takwimu rasmi zilizokuwepo miaka 10 iliyopita:
1. Sukuma
2. Nyamwezi
3. Chagga
4. Haya
5. Nyakyusa

UKABILA UMEANZA TZ:-

Kilichobaki hii nchi TZ tuigawane kila mkoa au baadhi ya mikoa iwe ni nchi zinazojitegemea, kama ifuatavyo:-

1---- Kigoma, waha na Wamanyema
2--- Kagera, Wahaya, Wahangaza.
3----(Mwanza, Geita na Shinyanga,) Wasukuma.Wakerewe, Wakara.
Tabora---- Wanyamwezi.
4----Tanga, Wasambaa, Wadigo, wazigua.
5----Mara, Wakurya, Wajita, Wajaluo, Wazanaki.
6---Arusha, Wameru, Waarusha, Wamasai. Wairaq.
7--- kilimanjaro, Wachaga, Wapare.
8----pwani, Dar, Wakwere, Wazaramo, wandengereko.
9---Morogoro, Walugulu, Wapogoro, wakaguru, Wavidunda, Wabena Manga, Wandamba.
10---Mbeya, Wasafa, Wandali, Wanyakyusa.
11---Songea, Wangoni. Wandendeule. Wamanda, Wakisi.
12---(Iringa, Njombe), Wahehe, Wabena, wakinga.
13---- Mtwara, Wamakonde, Wamakuwa,
14----Lindi, Wamatumbi.
15---Dodoma Wagogo, Warangi.
16--- Singida, Wahadzabe, Wanyaturu, wasandawe. Wanyiramba.
17---(Rukwa,Katavi) Wafipa.
18-- Pemba, Wapemba.
19-- Unguja, Waunguja.

NB: Kabila lolote ambalo halikutajwa hapo juu na lipo katika nchi yoyote katika hizo nchi 17 hilo kabila litachukuliwa kama limehamia kiharamu (wahamiaji haramu) katika nchi husika, la sivyo wanatakiwa waombe uraia (naturalization) haraka sana.
 
Bika kusahau Bunda na Manyoni
Hata kama ila wakirejea Wasukuma huenda tupo zaidi ya 20 million!
.
Mwanza yetu, Geita yetu, Shinyanga yetu, Simiyu yetu, Tabora yetu. (Hizi ni natural state zetu)
Tukija sehemu tulizoteka Iramba tumeiteka, Mpanda tumeiteka, Tukuyu, Kyela n.k kwa kifupi Mbeya tumeiteka, Sumbawanga tumeiteka, Manyoni tumeiteka, Kasulu tumeiteka bhabha acha kabhisa.
 
Hapana,, amekosea sana Waikizu ni jamii ya Wakurya labda alitaka kusema Wanyantuzu? Pia kwa Wasukuma amesahau kutaja mkoa wa Katavi pia huko wamejaa!
Nani alikwambia unyantuzu ni kablia ?
 
Hata kama ila wakirejea Wasukuma huenda tupo zaidi ya 20 million!
.
Mwanza yetu, Geita yetu, Shinyanga yetu, Simiyu yetu, Tabora yetu. (Hizi ni natural state zetu)
Tukija sehemu tulizoteka Iramba tumeiteka, Mpanda tumeiteka, Tukuyu, Kyela n.k kwa kifupi Mbeya tumeiteka, Sumbawanga tumeiteka, Manyoni tumeiteka, Kasulu tumeiteka bhabha acha kabhisa.
Hakuna mkoa ambao msukuma hayupo tupo zaidi ya Million 20+
 
Wakenya wameendelea sababu wao after independence wali adopt capitalist mode of economy sisi tukakumbatia ujamaa, Hadi tukawekewa vikwazo na IMF, na WB had tulipokubali conditions zao it was like starting from zero wakati wakenya wanachanja mbunga sisi ndo tunaanza.
Huwezi tumia ujamaa as an excuse kwenye uchumi wa Tanzania mbovu.
Tanzania hadi wakati wa kuvunjika jumuiya ya Afrika Mashariki ndio ilikuwa na uchumi mkubwa pamoja na maujamaa yake.
.
Reli ya Tazara ni matunda ya ujamaa.
Hiki hakina tofauti na story za wanasiasa za "eti" tumechelewa kuendelea kwa sababu ya kuziletea uhuru nchi za kusini mwa Afrika! 😂

So maendeleo ya Kenya hayahusiki na ukabila ni wao na strategy zao pia
Umeandika nchi nyingi za Africa haziendelei kwa sababu ya ukabila kama wa Magufuli kuzungumza Kisukuma kwenye mikutano.
.
Nikauliza mbona Kenya imepiga hatua?
Kenya hawafanyi mkutano au kiongozi hawezi kuzungumza chochote bila ukabila na tena wana-vote kwa kuangalia ukabila si hilo tu wanaenda viwanjani KIKABILA Na bado uchumi wao ni mlima kwetu.

jua ile ilikuwa settler economy ndio Mana ina balozi nyingi na mashirika makubwa how can you compare with Tanzania
Ni ujinga na mikumbo tu na hakuna kingine, at least hivi sasa Magu anaelewa hafuati mikumbo.
.
Nchi kibao zili-terminate mahusiano yao ya kibalozi na Israel nayo ikaunga, ujinga ujinga mwingi.
Kenya kuna mwanasiasa anaitwa Francis Atwoli ni illiterate alafu very very smart anaongea vilugha hujawahi kuona.
Kuna Moses Wetangula shida ingine.
Kuna Alfred Mutua ni balaa.
Kuna Odinga shida.
Kenyatta mwenyewe shida, Ruto taabu tupu na bado ni more developed kutuliko.

Acha tuongee kisukuma huko tunatamba
 
Kabila kubwa Kenya siyo wajaluo bali ni wakikuyu.
Ujinga mtupu, hata wengine ni wengi, acheni mawazo haya ya kimaskini, ukabila sio jambo la kulionea fahari kwa namna yoyote, na hasa sumu kubwa ni hiyo ya kujiona kwa wingi.. Wajaluo mpaka leo wanajiona wanastahili kutawala Kenya kwasababu ya wingi wao.. Vivyo hivyo Wahutu walijiona kwa wingi wao na mifano ni miingi sana.. Kwa upumbavu huu Moods mlitakiwa kuufuta uzi wa mawazo mufilisi kama huu
 
Kenya hawana maendeleo ya kufikia hatua ya kuwa proud mbele ya watanzania.

Tafuta mifano relevant kid
We mzee me sitaki shida.
Nakupa punch moja tu ukafie mbele.
.
Kenya wana uchumi wa kati toka zamani sana, Tanzania ina uchumi wa aina gani?
 
Lazima kisukuma tukiongee sana tu
Huwezi tumia ujamaa as an excuse kwenye uchumi wa Tanzania mbovu.
Tanzania hadi wakati wa kuvunjika jumuiya ya Afrika Mashariki ndio ilikuwa na uchumi mkubwa pamoja na maujamaa yake.
.
Reli ya Tazara ni matunda ya ujamaa.
Hiki hakina tofauti na story za wanasiasa za "eti" tumechelewa kuendelea kwa sababu ya kuziletea uhuru nchi za kusini mwa Afrika! [emoji23]

Umeandika nchi nyingi za Africa haziendelei kwa sababu ya ukabila kama wa Magufuli kuzungumza Kisukuma kwenye mikutano.
.
Nikauliza mbona Kenya imepiga hatua?
Kenya hawafanyi mkutano au kiongozi hawezi kuzungumza chochote bila ukabila na tena wana-vote kwa kuangalia ukabila si hilo tu wanaenda viwanjani KIKABILA Na bado uchumi wao ni mlima kwetu.

Ni ujinga na mikumbo tu na hakuna kingine, at least hivi sasa Magu anaelewa hafuati mikumbo.
.
Nchi kibao zili-terminate mahusiano yao ya kibalozi na Israel nayo ikaunga, ujinga ujinga mwingi.
Kenya kuna mwanasiasa anaitwa Francis Atwoli ni illiterate alafu very very smart anaongea vilugha hujawahi kuona.
Kuna Moses Wetangula shida ingine.
Kuna Alfred Mutua ni balaa.
Kuna Odinga shida.
Kenyatta mwenyewe shida, Ruto taabu tupu na bado ni more developed kutuliko.

Acha tuongee kisukuma huko tunatamba
 
Lazima kisukuma tukiongee sana tu
Hawataki wajinyonge.
Kwenye basi, kwenye treni, kwenye ndege, kwenye masoko, kwenye mabarabara, kwenye mashamba, kwenye maziwa, kwenye uganga kote tutapiga tu makelele.
 
Huwezi tumia ujamaa as an excuse kwenye uchumi wa Tanzania mbovu.
Tanzania hadi wakati wa kuvunjika jumuiya ya Afrika Mashariki ndio ilikuwa na uchumi mkubwa pamoja na maujamaa yake.
.
Reli ya Tazara ni matunda ya ujamaa.
Hiki hakina tofauti na story za wanasiasa za "eti" tumechelewa kuendelea kwa sababu ya kuziletea uhuru nchi za kusini mwa Afrika! [emoji23]

Umeandika nchi nyingi za Africa haziendelei kwa sababu ya ukabila kama wa Magufuli kuzungumza Kisukuma kwenye mikutano.
.
Nikauliza mbona Kenya imepiga hatua?
Kenya hawafanyi mkutano au kiongozi hawezi kuzungumza chochote bila ukabila na tena wana-vote kwa kuangalia ukabila si hilo tu wanaenda viwanjani KIKABILA Na bado uchumi wao ni mlima kwetu.

Ni ujinga na mikumbo tu na hakuna kingine, at least hivi sasa Magu anaelewa hafuati mikumbo.
.
Nchi kibao zili-terminate mahusiano yao ya kibalozi na Israel nayo ikaunga, ujinga ujinga mwingi.
Kenya kuna mwanasiasa anaitwa Francis Atwoli ni illiterate alafu very very smart anaongea vilugha hujawahi kuona.
Kuna Moses Wetangula shida ingine.
Kuna Alfred Mutua ni balaa.
Kuna Odinga shida.
Kenyatta mwenyewe shida, Ruto taabu tupu na bado ni more developed kutuliko.

Acha tuongee kisukuma huko tunatamba
Umeandika povu jingi Hadi kumuingiza magufuli ili iweje jikite kwenye mada please. Wakati watanzania tuna mdodoro wa uchumi had watu wanakosa nguo na sabuni Kenya wanapeta huku sabuni shida utajilingamishaje nao. Kenya wametuzidi mengi na Wala haihusiani na ukabila Kenya grabs a lot of opportunities compared na Watanzania Wana largest diaspora kuliko wengine Africa mashariki sisi tumelala, Kuna mtanzania yoyote aliye invest heavily Kama Wakenya hapa Hadi Wana ma benki. Maendeleo hayana ukabila it's a matter of working hard and grabbing opportunities na innovation basi hzo the rest na blah blah zisizo na kichwa.
Ujamaa ni first exuse inayo affect Hili taifa ndo Mana nchi ka Chinese iliutupilia mbali, nchi nyingi za Ujamaa ziko poor compared na nyingine kuanzia uchumi, democracy Hadi haki za binadamu
 
Kwa hiyo kwa maoni yako wasukuma ni useless. Pole sana.
Hayo ni maneno yako jikite kwenye mada uelewe vizuri, usiwe bias discuss with fact's please ili mjadala uwe mzuri no mihemko please. Hafu usi personalize mada
 
Back
Top Bottom