Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasukuma na mkoa wa Mara wapi na wapi,wasukuma waliopo mkoa wa Mara ni vibarua.Matawi ya wasukuma ni wanyamwezi, wasumbwa, wazinza/warongo, siyo waikizu. Hapo mtoa post amechemsha. Aidha, wasukuma wanaishia kwa wingi katika mikoa ya mara, katavi na Singida
Unaweza kunionyesha nilipo muingiza?Umeandika povu jingi Hadi kumuingiza magufuli ili iweje jikite kwenye mada please.
Sababu za Tanzania kukosa sabauni na wakenya wakawa nazo ni nini?Wakati watanzania tuna mdodoro wa uchumi had watu wanakosa nguo na sabuni Kenya wanapeta huku sabuni shida utajilingamishaje nao.
Kumbe basi tatizo si ukabila bali ni akili, risk na ujanja tu tunakubaliana?Kenya wametuzidi mengi na Wala haihusiani na ukabila Kenya grabs a lot of opportunities compared na Watanzania Wana largest diaspora kuliko wengine Africa mashariki sisi tumelala,
Sijui! Kenyans ni risk takers watanzania tuna usisi mwingi.Kuna mtanzania yoyote aliye invest heavily Kama Wakenya hapa Hadi Wana ma benki.
dah! Me huwa nachoka mwili hadi akili kabisa.Maendeleo hayana ukabila it's a matter of working hard and grabbing opportunities na innovation basi hzo the rest na blah blah zisizo na kichwa.
Uliandika ukiwa umelewa?Ukabila ni mubaya umezifanya Africa zisipige hatua, na mtu anayejisifia ukabila sio matured enough.
Cuba ni ya kijamaa, Tanzania au Kenya zinaizidi nini Cuba?Ujamaa ni first exuse inayo affect Hili taifa ndo Mana nchi ka Chinese iliutupilia mbali, nchi nyingi za Ujamaa ziko poor compared na nyingine kuanzia uchumi, democracy Hadi haki za binadamu
Nakuunga mkono dada angu 100% Afrika haiendelei kwa huu ujinga wa kung'ang'ania mambo yasiyo na maana kwa kisingizio cha mila. Kuna mila nzuri tuziendeleze na kuna mila mbaya tuziache. Kuendeleza ukabila ni miongoni mwa mila mbaya na potofu lazima tuachane nayo. Hakuna ukabila "positive" siku zote watu wanaoshabikia ukabila ni "makaburu" tu.Tunajua Africa watu huongelea ukabila in negative wao always plus nepotism namuunga mkono Nyerere wauliza kabila wataka kutambika hata Tanzania sehemu mtu akijua kabila lako anaanza ukabila though kwa unafiki watu watasema it's normal sijui tusiige wazungu and blah blah kumbe kubebana hata kusikostahili.
Swali liko palepale mbona Kenya wameendelea kutuzidi pamoja na kuwa na ukabila wao?Nakuunga mkono dada angu 100% Afrika haiendelei kwa huu ujinga wa kung'ang'ania mambo yasiyo na maana kwa kisingizio cha mila. Kuna mila nzuri tuziendeleze na kuna mila mbaya tuziache. Kuendeleza ukabila ni miongoni mwa mila mbaya na potofu lazima tuachane nayo. Hakuna ukabila "positive" siku zote watu wanaoshabikia ukabila ni "makaburu" tu.
Vibarua wanini? Na wajaluo wafanye kazi gani?Wasukuma na mkoa wa Mara wapi na wapi,wasukuma waliopo mkoa wa Mara ni vibarua.
Hujui unachokiongea, bila shaka hata hiyo Uingereza hujafika.Hata uingerza kwa mfano kuna wa welsh wana lugha yao na wascotish nao pia. Mwingereza halisi ni hawa wa london napembezoni. Na ukabila upo sana. Tajiri wa ukoo wa malkia ambao ni waingereza hawezi kuoa mwelsh au mscot. Kumbuka issue ya mtoto wa malkia kuoa ukoo usiojulikana.SIKU HIZI NDIO WANAVUNJA MIIKO KAMA VILE MNYATURU KUOA AU KUOLEWA NA MMASAI AU MCHAGA AU MMAKONDE
Vibarua mashambani na Kuchunga mifugo!Vibarua wanini? Na wajaluo wafanye kazi gani?
Kenya ni "LCD" kama ilivyo Tanzania.Swali liko palepale mbona Kenya wameendelea kutuzidi pamoja na kuwa na ukabila wao?
Mimi Musoma, Bunda, Rorya na Tarime nazijua hadi nakera ni wapi wasukuma wameajiriwa kwenye mashamba na kuchunga mifugo?Vibarua mashambani na Kuchunga mifugo!
Unaota wewe, Kenya ina uchumi wa kati kipato cha chini LDC ni Tanzania.Kenya ni "LCD" kama ilivyo Tanzania.
Kushabikia ukabila nikutokujielewa na hatujawa huru kabisa hyo ilikuwa unatumiwa na wakoloni Kama divide and rule Sasa 21st century ukabila sijui idadi, kah USA imejengwa na watu tofauti tofauti, na waliokuwa na ubunifu wangekumbatia ukabila wangefika wapi, zaidi ya nepotism na kukosa ubunifu.Nakuunga mkono dada angu 100% Afrika haiendelei kwa huu ujinga wa kung'ang'ania mambo yasiyo na maana kwa kisingizio cha mila. Kuna mila nzuri tuziendeleze na kuna mila mbaya tuziache. Kuendeleza ukabila ni miongoni mwa mila mbaya na potofu lazima tuachane nayo. Hakuna ukabila "positive" siku zote watu wanaoshabikia ukabila ni "makaburu" tu.
Umekuja kutaja ulipo ni quote kwanini u force kingi Uzi hujamtaja yeye ka sikujihisi na kumtumia ka ngao kwenye huu Uzi Nini.Unaweza kunionyesha nilipo muingiza?
Sababu za Tanzania kukosa sabauni na wakenya wakawa nazo ni nini?
Kumbe basi tatizo si ukabila bali ni akili, risk na ujanja tu tunakubaliana?
Sijui! Kenyans ni risk takers watanzania tuna usisi mwingi.
dah! Me huwa nachoka mwili hadi akili kabisa.
haya ni maneno yako.
Uliandika ukiwa umelewa?
Cuba ni ya kijamaa, Tanzania au Kenya zinaizidi nini Cuba?
Huu ni utafiti(usiokua rasmi) juu ya uwingi wa wazungumzaji wa makabila yaani wale ambao kiasili ni wenyeji wa kabila husika pamoja na wale ambao wamejifunza makabila husika kutokana na mwingiliano wa shughuli mbalimbali za kimaisha.
1. WASUKUMA
-Idadi yao inakadiriwa kuwa zaidi ya milioni 10. Ni kabila pekee linalopatikana zaidi ya mikoa 6. Wasukuma (ukijumlisha na matawi yake kama Wanyamwezi, Waikizu n.k) wanapatikana mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Geita, Simiyu, Tabora na Kigoma pia.
2. WAGOGO
-Wanapatikana kwa wingi mkoani Dodoma. Pia wanapatikana Morogoro/Gairo(huitwa pia Wakaguru). Mkoani Singida wanapatikana wilayani Manyoni (huitwa Wagogo wa Manyoni). Mpakani mwa mikoa ya Dodoma na Iringa pia wanapatikana kwa wingi.
3. WANGONI
Ukijumlisha pamoja na Wandendeule na Wamatengo ambao lughazao huendana sana, basi Wangoni wanafanya kuwa kabila la tatu kwa uwingi Tanzania. Wanapatikana Mkoani Ruvuma.
4. WAMASAI
Hawa wanapatikana Mkoani Arusha pamoja na baadhi ya wilaya za mkoa wa Manyara kama Simanjiro na Kiteto.
5. WARANGI
-Ukiwajumlisha pamoja na matawi yake kama Waburunge na Wanguu hawa nao wanapaswa kuingia kwenye top ten.Wanapatikana kwa wingi wilaya ya Kondoa na Chemba. Pia wanapatikana maeneo ya Mpakani mwa mkoa wa Manyara na Dodoma.
List Itaendelea...
NB: NAJUA UTASHANGAA KUTOYAONA MAKABILA YA WANYAKYUSA, WAHAYA NA WACHAGA HAPO JUU, UKWELI NI KUWA KWA KIPIMO CHA UWINGI WANAPWAYA SANA ILA WAMEFANIKIWA KWENYE UMAARUFU NA ELIMU TU.
Karibuni kwa mjadala
Nimekupa uhuru wa kunionyesha hapo nilipokunukuu nikamtaja naona umeshindwa 😝Umekuja kutaja ulipo ni quote kwanini u force kingi Uzi hujamtaja yeye ka sikujihisi na kumtumia ka ngao kwenye huu Uzi Nini.
Kumbe Kenya, South Africa, Angola n.k zimeendelea kwa sababu ya kupata misaada ila Tanzania haijaweza kuendelea kwa sababu haikupata misaada?Tanzania sera zake za kijamaa ziliinyima misaada mingi kwahyo kila kitu kikafa ndo akaja mzee wa ruksa kukubaliana na condition za world bank, IMF ndo ikapewa mikopo sio Tanzania, hata nchi nyingi za Africa, na masharti yalikuwa kusitisha huduma za afya bure, elimu na mengineyo hata kuruhusu multiparty system.
Inabidi ubadilishe ulichoandika maana vinakinzana, hapa unakataa ukabila hauhusiani na maendeleo ya Kenya while mwanzo umesema nchi nyingi za Africa haziendelei kwa sababu ya ukabila.Kwahyo usipende kuingiza ukabila kwenye Mambo chimba vitu kiundani.
Kuna sehemu umeandika nimelewa by the way Mimi situmii vilevi chochote labda hisia zako tu hata ningekuwa nimelewa hyo haibadilishi nilicho andika Niko timamu kabisa
Hakuna mkoa ambao msukuma hayupo tupo zaidi ya Million 20+
Yaani ni nusu ya Watanzania wote?Hata kama ila wakirejea Wasukuma huenda tupo zaidi ya 20 million!
.
Mwanza yetu, Geita yetu, Shinyanga yetu, Simiyu yetu, Tabora yetu. (Hizi ni natural state zetu)
Tukija sehemu tulizoteka Iramba tumeiteka, Mpanda tumeiteka, Tukuyu, Kyela n.k kwa kifupi Mbeya tumeiteka, Sumbawanga tumeiteka, Manyoni tumeiteka, Kasulu tumeiteka bhabha acha kabhisa.
Warangi no. 5!! Wasambaa ni wengi kuliko warangi, hata wapare pia. Bila kusahau wachaga, wanyaki, wahaya, waha nkHuu ni utafiti(usiokua rasmi) juu ya uwingi wa wazungumzaji wa makabila yaani wale ambao kiasili ni wenyeji wa kabila husika pamoja na wale ambao wamejifunza makabila husika kutokana na mwingiliano wa shughuli mbalimbali za kimaisha.
1. WASUKUMA
-Idadi yao inakadiriwa kuwa zaidi ya milioni 10. Ni kabila pekee linalopatikana zaidi ya mikoa 6. Wasukuma (ukijumlisha na matawi yake kama Wanyamwezi, Waikizu n.k) wanapatikana mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Geita, Simiyu, Tabora na Kigoma pia.
2. WAGOGO
-Wanapatikana kwa wingi mkoani Dodoma. Pia wanapatikana Morogoro/Gairo(huitwa pia Wakaguru). Mkoani Singida wanapatikana wilayani Manyoni (huitwa Wagogo wa Manyoni). Mpakani mwa mikoa ya Dodoma na Iringa pia wanapatikana kwa wingi.
3. WANGONI
Ukijumlisha pamoja na Wandendeule na Wamatengo ambao lughazao huendana sana, basi Wangoni wanafanya kuwa kabila la tatu kwa uwingi Tanzania. Wanapatikana Mkoani Ruvuma.
4. WAMASAI
Hawa wanapatikana Mkoani Arusha pamoja na baadhi ya wilaya za mkoa wa Manyara kama Simanjiro na Kiteto.
5. WARANGI
-Ukiwajumlisha pamoja na matawi yake kama Waburunge na Wanguu hawa nao wanapaswa kuingia kwenye top ten.Wanapatikana kwa wingi wilaya ya Kondoa na Chemba. Pia wanapatikana maeneo ya Mpakani mwa mkoa wa Manyara na Dodoma.
List Itaendelea...
NB: NAJUA UTASHANGAA KUTOYAONA MAKABILA YA WANYAKYUSA, WAHAYA NA WACHAGA HAPO JUU, UKWELI NI KUWA KWA KIPIMO CHA UWINGI WANAPWAYA SANA ILA WAMEFANIKIWA KWENYE UMAARUFU NA ELIMU TU.
Karibuni kwa mjadala