Top Ten makabila yenye wazungumzaji wengi Tanzania

Asante kwa kuliona hili
 
Tofautisha Kabila na Ukabila
Kabila ni identity ya tamaduni,jamii,desturi,lugha ,ngoma n.k
Ukabila maana yake ni ubaguzi wa kikabila,upendeleo wa kazi,chuki na siasa za kabila.
Najua vizuri hzo Mambo wewe uki read between lines una hidden agenda mbona kipindi Cha nyuma hizi Mambo haziku exist. Hata nyumbu Serengeti na mbuga yoyote ni wengi je Ina add any value?

Uwingi wa kitu hafu kiwe un productive tu ni useless pia.
 
Hii watu wanasema tu, Ila haya mambo ya kujadili makabila hufanya watu kuwa obsessed na makabila na kuyazingatia maishani mwao

kadri watu wanavyozidi kuyazingatia makabila yao ndio huja kuya apply hata kwenye siasa, kazi, ndoa, biashara na kufanya mtu awe anamuangalia kwanza Fulani ni kabila gani ndio ampe kazi, ampigie kura, au amuoe
 
Waikizu ni tawi la wasukuma? Kivipi?
Hiki hapa kiikizu.
Mwakola zesoni bamule alafu mwingine anaweza kujibu hivi Toleho mwana weto na nangweno nele marambela abhikizo bhu twimenye kwi kikundi cheto!

Wewe kama ni Msukuma au Mnyamwezi nini hutaelewa hapo?
 
Kenya wanaukabila, Tanzania haina ukabila na Kenya wamepiga hatua mara mbili kutuzidi inakuingia akilini hii?
.
Acha wasukuma tutambe hutaki meza wembe
 
Sensa ya mwisho kuuliza kabila la mtu ilikuwa kabla ya 1967.

Idadi ya watu kwa hayo makabila umepata wapi?

Acha mambo ya hisia Kiongozi. Ukubwa wa kabila kiidadi si ukubwa wa eneo wanakoishi.
 
Nahene lolo bhabha
 
Kenya wanaukabila, Tanzania haina ukabila na Kenya wamepiga hatua mara mbili kutuzidi inakuingia akilini hii?
.
Acha wasukuma tutambe hutaki meza wembe
Kenya wameuana zaidi kuliko sisi, na mauaji hayo Yana relate na ukabila
 
Sensa ya mwisho kuuliza kabila la mtu ilikuwa kabla ya 1967.

Idadi ya watu kwa hayo makabila umepata wapi?

Acha mambo ya hisia Kiongozi. Ukubwa wa kabila kiidadi si ukubwa wa eneo wanakoishi.
Hata kama ila wakirejea Wasukuma huenda tupo zaidi ya 20 million!
.
Mwanza yetu, Geita yetu, Shinyanga yetu, Simiyu yetu, Tabora yetu. (Hizi ni natural state zetu)
Tukija sehemu tulizoteka Iramba tumeiteka, Mpanda tumeiteka, Tukuyu, Kyela n.k kwa kifupi Mbeya tumeiteka, Sumbawanga tumeiteka, Manyoni tumeiteka, Kasulu tumeiteka bhabha acha kabhisa.
 
Kenya wanaukabila, Tanzania haina ukabila na Kenya wamepiga hatua mara mbili kutuzidi inakuingia akilini hii?
.
Acha wasukuma tutambe hutaki meza wembe
Kenya hawana maendeleo ya kufikia hatua ya kuwa proud mbele ya watanzania.

Tafuta mifano relevant kid
 
Waikizu ni tawi la wasukuma? Kivipi?
Hapana,, amekosea sana Waikizu ni jamii ya Wakurya labda alitaka kusema Wanyantuzu? Pia kwa Wasukuma amesahau kutaja mkoa wa Katavi pia huko wamejaa!
 
Kenya wanaukabila, Tanzania haina ukabila na Kenya wamepiga hatua mara mbili kutuzidi inakuingia akilini hii?
.
Acha wasukuma tutambe hutaki meza wembe
Wakenya wameendelea sababu wao after independence wali adopt capitalist mode of economy sisi tukakumbatia ujamaa, Hadi tukawekewa vikwazo na IMF, na WB had tulipokubali conditions zao it was like starting from zero wakati wakenya wanachanja mbunga sisi ndo tunaanza. So maendeleo ya Kenya hayahusiki na ukabila ni wao na strategy zao pia jua ile ilikuwa settler economy ndio Mana ina balozi nyingi na mashirika makubwa how can you compare with Tanzania
 
masare,
Wasukuma & Waikizu wawe same tribe group? Fake news!
Hapo unajikuta unajuuuuua pole mdau.

Muikizu anaweza kuzungumza hivi Hodi bamule kweli muweto mono? Akajibiwa Toreho oholiye! Sasa si kisukuma hiki we mzee vipi bana
 
Muda si mrefu moro na mpanda zitatekwa na wasukuma.
 
Ujinga mtupu, hata wengine ni wengi, acheni mawazo haya ya kimaskini, ukabila sio jambo la kulionea fahari kwa namna yoyote, na hasa sumu kubwa ni hiyo ya kujiona kwa wingi.. Wajaluo mpaka leo wanajiona wanastahili kutawala Kenya kwasababu ya wingi wao.. Vivyo hivyo Wahutu walijiona kwa wingi wao na mifano ni miingi sana.. Kwa upumbavu huu Moods mlitakiwa kuufuta uzi wa mawazo mufilisi kama huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…