Top Ten makabila yenye wazungumzaji wengi Tanzania

Matawi ya wasukuma ni wanyamwezi, wasumbwa, wazinza/warongo, siyo waikizu. Hapo mtoa post amechemsha. Aidha, wasukuma wanaishia kwa wingi katika mikoa ya mara, katavi na Singida
Wasukuma na mkoa wa Mara wapi na wapi,wasukuma waliopo mkoa wa Mara ni vibarua.
 
Umeandika povu jingi Hadi kumuingiza magufuli ili iweje jikite kwenye mada please.
Unaweza kunionyesha nilipo muingiza?

Wakati watanzania tuna mdodoro wa uchumi had watu wanakosa nguo na sabuni Kenya wanapeta huku sabuni shida utajilingamishaje nao.
Sababu za Tanzania kukosa sabauni na wakenya wakawa nazo ni nini?

Kenya wametuzidi mengi na Wala haihusiani na ukabila Kenya grabs a lot of opportunities compared na Watanzania Wana largest diaspora kuliko wengine Africa mashariki sisi tumelala,
Kumbe basi tatizo si ukabila bali ni akili, risk na ujanja tu tunakubaliana?

Kuna mtanzania yoyote aliye invest heavily Kama Wakenya hapa Hadi Wana ma benki.
Sijui! Kenyans ni risk takers watanzania tuna usisi mwingi.

Maendeleo hayana ukabila it's a matter of working hard and grabbing opportunities na innovation basi hzo the rest na blah blah zisizo na kichwa.
dah! Me huwa nachoka mwili hadi akili kabisa.
haya ni maneno yako.
Ukabila ni mubaya umezifanya Africa zisipige hatua, na mtu anayejisifia ukabila sio matured enough.
Uliandika ukiwa umelewa?

Ujamaa ni first exuse inayo affect Hili taifa ndo Mana nchi ka Chinese iliutupilia mbali, nchi nyingi za Ujamaa ziko poor compared na nyingine kuanzia uchumi, democracy Hadi haki za binadamu
Cuba ni ya kijamaa, Tanzania au Kenya zinaizidi nini Cuba?
 
Nakuunga mkono dada angu 100% Afrika haiendelei kwa huu ujinga wa kung'ang'ania mambo yasiyo na maana kwa kisingizio cha mila. Kuna mila nzuri tuziendeleze na kuna mila mbaya tuziache. Kuendeleza ukabila ni miongoni mwa mila mbaya na potofu lazima tuachane nayo. Hakuna ukabila "positive" siku zote watu wanaoshabikia ukabila ni "makaburu" tu.
 
Swali liko palepale mbona Kenya wameendelea kutuzidi pamoja na kuwa na ukabila wao?
 
Hivi unajua ukitoa wasukuma,Mkoa wenye watu pekee ambao ni kabila moja tu utawaweka namba ngapi??.
Mkoa wa Iringa wote ni wahehe hawana mchanganyiko wa kabila lolote.
 
Hujui unachokiongea, bila shaka hata hiyo Uingereza hujafika.
 
Kushabikia ukabila nikutokujielewa na hatujawa huru kabisa hyo ilikuwa unatumiwa na wakoloni Kama divide and rule Sasa 21st century ukabila sijui idadi, kah USA imejengwa na watu tofauti tofauti, na waliokuwa na ubunifu wangekumbatia ukabila wangefika wapi, zaidi ya nepotism na kukosa ubunifu.
 
Umekuja kutaja ulipo ni quote kwanini u force kingi Uzi hujamtaja yeye ka sikujihisi na kumtumia ka ngao kwenye huu Uzi Nini.
Tanzania sera zake za kijamaa ziliinyima misaada mingi kwahyo kila kitu kikafa ndo akaja mzee wa ruksa kukubaliana na condition za world bank, IMF ndo ikapewa mikopo sio Tanzania, hata nchi nyingi za Africa, na masharti yalikuwa kusitisha huduma za afya bure, elimu na mengineyo hata kuruhusu multiparty system.
Kwahyo usipende kuingiza ukabila kwenye Mambo chimba vitu kiundani.
Kuna sehemu umeandika nimelewa by the way Mimi situmii vilevi chochote labda hisia zako tu hata ningekuwa nimelewa hyo haibadilishi nilicho andika Niko timamu kabisa
 
Haya makabila yanatakiwa yafe kabisa.

Ninafurahi kizazi cha sasa ni cha waswahili pure wasio na ukabila ukabila.

Hata kuongea ongea lugha za kikabila huwa sipendi kabisa. Ni chanzo cha ukabila na ubaguzi.

Hasa wasukuma wanapenda sana kuongea kikabila bila kujali muktadha. Wanachoongea chenyewe ni upuuzi. Majungu tu na ujinga ujinga.
 

Swali limeleweka?
 
Umekuja kutaja ulipo ni quote kwanini u force kingi Uzi hujamtaja yeye ka sikujihisi na kumtumia ka ngao kwenye huu Uzi Nini.
Nimekupa uhuru wa kunionyesha hapo nilipokunukuu nikamtaja naona umeshindwa 😝

Kumbe Kenya, South Africa, Angola n.k zimeendelea kwa sababu ya kupata misaada ila Tanzania haijaweza kuendelea kwa sababu haikupata misaada?
Sick of this!

Kwahyo usipende kuingiza ukabila kwenye Mambo chimba vitu kiundani.
Kuna sehemu umeandika nimelewa by the way Mimi situmii vilevi chochote labda hisia zako tu hata ningekuwa nimelewa hyo haibadilishi nilicho andika Niko timamu kabisa
Inabidi ubadilishe ulichoandika maana vinakinzana, hapa unakataa ukabila hauhusiani na maendeleo ya Kenya while mwanzo umesema nchi nyingi za Africa haziendelei kwa sababu ya ukabila.
.
Napata shida kuijua nchi ya Africa yenye ukabila kuzidi Kenya siioni.
 
Yaani ni nusu ya Watanzania wote?
Day dreaming my friend!
 
Warangi no. 5!! Wasambaa ni wengi kuliko warangi, hata wapare pia. Bila kusahau wachaga, wanyaki, wahaya, waha nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…