Top Ten makabila yenye wazungumzaji wengi Tanzania

Kwanini kila mrangi ana ndugu buguruni,we siku kachukue simu ya mrangi yoyote unaemjua kisha anza kuangalia majina hutokosa Fulani buguruni nakuapia weka nae hata dau utashinda
 
Hujui kitu, wilaya ya Bunda yote nusu ni wasukuma pamoja na mvunge wa sasa wa Bunda mjini. Kama ulikuwa hujui hata chifu wa Ushashi alikuwa chifu Masanja msukuma, waulize wazee wa huko watakueleza. Msukuma hajawahi kuwa kibarua wa mshashi hata siku moja.
Wasukuma na mkoa wa Mara wapi na wapi,wasukuma waliopo mkoa wa Mara ni vibarua.
 
Hata mbunge wa sasa wa Bunda mjini Esta Bulaya ni msukuma
 
Kwa uelewa wangu, wewe ni msukuma!! Hiyo NB uliyoweka ndiyo haswaa lengo lako.
 
Nani alikwambia unyantuzu ni kablia ?
Wengi ambao siyo Wasukuma huhesabu Wanyantuzu kama kabila dogo ndani ya Wasukuma, ndiyo maana nikasema labda.....ulikatumbafu namhala ebhe!!
 
Yaani ni nusu ya Watanzania wote?
Day dreaming my friend!
Wala sio ndoto.
Unaweza kustaajabu tukawa hata tunaikaribia robo.
.
Morogoro tumejaa kila sehemu, Dodoma, Singida soon tunaiteka, Katavi ni yetu, Rukwa hata hatuhitaji mjadala, Mbeya hadi wanalia maana ni new territory!
.
Kila sehemu tulipo tunateka vijiji vinakuwa vyetu, nitakupa mfano hai kijiji cha Kitila Mkumbo ambako ni sehemu asili ya wanyiramba ukienda unawatafuta. Ni ulimhola bhabha, wamisha mhola, eng'washi n.k 😂
Usiumie ndiyo hali halisi
 
Ulimaanisha Settler colony bila shaka
 
Kwa hiyo wanyaturu walikuwa hawaolewi na makabila mengine ?
 
Wazinza dio tawi la wasukuma. Ni tawi la Wahaya.
Matawi ya wasukuma ni wanyamwezi, wasumbwa, wazinza/warongo, siyo waikizu. Hapo mtoa post amechemsha. Aidha, wasukuma wanaishia kwa wingi katika mikoa ya mara, katavi na Singida
 
Hasipokuelewa usimjibu tena
 
Matawi ya wasukuma ni wanyamwezi, wasumbwa, wazinza/warongo, siyo waikizu. Hapo mtoa post amechemsha. Aidha, wasukuma wanaishia kwa wingi katika mikoa ya mara, katavi na Singida

Morogoro wapo wengi sana Duthumi, Ifakara, Malinyi, Kilosa kuna kijiji Karadasi ni usukumani mpaka kuna sheria zao za kisukuma..
Nilienda Songea nikakuta wamejaa wamenunua maeneo ya wandendeule, wanafuga na kulima...Mbeya bonde la Usangu....ni wazurulaji mno!
Sikuwahi kuwaona wasukuma kwa uwingi Tarime na Musoma, nilipopita kikazi kwa mwaka mmoja.

Everyday is Saturday......................... 😎
 
Kwa waliosoma historia wanajua hata Germany na Italy ilibidi zivunje himaya za kikabila ili kutengeneza taifa moja lenye nguvu kama tunayoyaona leo
 
Hivi unajua ukitoa wasukuma,Mkoa wenye watu pekee ambao ni kabila moja tu utawaweka namba ngapi??.
Mkoa wa Iringa wote ni wahehe hawana mchanganyiko wa kabila lolote.
Acha kupotosha jamii. Mimi ni mzaramo.
Ninaishi Iringa mjini pamoja na ndugu zangu kadhaa.

Ongea au andika kwa facts
 
100% wanaoongea kikabila kwenye halaiki yenye mchanganyiko wa watu tofauti tofauti wanamteta mtu au wanaongea jambo lisilo sahihi
 
Highest level of ignorance is potrayed in a broad daylight
 
Sasa kama Rais anahutubia kwa kisukuma, kwann wana wasijimwae mwae kuongelea makabila.
Acha uzwazwa,Rais wetu ana uwezo wa kuongea lugha mbalimbali kubwa na ndogo hapa nchini na anaongea popote pale anapokutana na watu wa kabila husika,hivyo bado ni mtu ambaye anaendelea kuunganisha makabila tofauti tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…