Toroka kijijini uje Dar

Dar hawez kuwa na njaa coz n muhimu kwa nchi but asilimia kalibia ya 40%ya wakaz wa dar wanashindia mlo mmoja.....alafu sijakuelewa vema umewasikia mkoa km wa mbey umetangaza njaa.....njaa zipp huko dodoma,singida nk...my b na kagera coz mdudu aliingia ktk ndizi zao.....
Huko mkoa wenzenu asilimia wanakula chakula alicho lima yeye,kikiwa na vilutubisho vyote bila kutegemea madawa ya store ili kisioze tofaut na milo mnao kula dar..mahind au mchele umevunwa mwaka juz ,umetunzwa na chemical kibao then wala leo,hv waweza jifananisha na mtu wa mbeya au moshi...nipo dae ila hiyo mbeya na moshi nimekaaa mda mrefu wanakula afya..sio km dar mchicha unakuwa kwa kumwagiwa maji yaliyo tuwama mda mrefu bacteria kibao nk.....njoo swala la maziwa fresh ,tuje maswala ya maji ya kunywa...kiufupi dar n mkoa hatar sana kwa cancer baadae
Vile vile kumbuka dar n mji mchafu kuliko yote tz
 
SIYE WA DAR TUNAJUA HADI KUNYONYA PAPUCHI NDO MAANA DADA ZENU WAKIJA DAR WANATUGANDA
 
Hatuwezi kuelewana. Hata kuandika vizuri huwezi.
 
siye wa dar tukienda kijijini tunawagonga dada zao kwa swagga za mjini tu
Kiinglish kidogo na unaninginiza ufunguo feki wa gari mzee unajilia wadada wakali wa kijijini kiulaiiini vitu titeee manake jamaa waoga!wanaishia kubebeshwa vyungu vya maji na kuni tu hahahha
 
Asilimia100%ya cc vidume tunaponda hii misosi lkini karibu wote tuliopo dar tunatokea kwenye hii misosi kufika town imekuwa tabu tu ache hizo kila mmoja akienda kijiji unakuta anakula cha kula kama hicho
 
Nc inaoneka kidogo dini unaielewa point zinalenga mulemule
 
kuishi huko porini ni zaidi ya mahabusu,ukienda gerezani utakutana na ugali angalau unaeleweka sasa mtu anaekula ugali kama huo atasema nae yuko huru?ana tofauti gani na mfungwa?
 
kijijini wananiuzi zaidi wanapochukua nguo tulizowanunulia dada zao huku mjini na kuvaa wao,nashindwa kudownload picha moja hapa jamaa kimechukua sidiria ya dada yake limevaa na kugoma kurudisha eti imempendeza.
 
Takwimu za serikali zinasema Dar inaongoza kwa watu wachache wenye kipato cha chini/umaskini ikifuatiwa na kilimanjaro,Pwani,Arusha na Manyara, sasa wewe unapingana na serikali kwa takwimu gani? kama wewe uko Dar kisha unashinda njaa basi utakuwa ni miongoni mwa wao maskini wachache waliohamia mjini.Asikwambie anayekula mlo mmoja wa Dar ni tajiri kuliko yule anayekula milo mitatu katika kipindi cha msimu wa mavuno.Nimeishi huko mikoani kwa miaka mitano naelewa kuna mtu anaishi bila hata senti kwa miezi minne au hata mitano mpaka kipindi cha msimu.Ndio maana mvua zikikataa mikoa mingi hata ile inayoongoza kwa kulima inakumbwa na njaa kwa sababu hakuna alternative nyingine ya kuishi.Pesa ndo kila kitu, toroka tu uje Dar
 
kijijini wananiuzi zaidi wanapochukua nguo tulizowanunulia dada zao huku mjini na kuvaa wao,nashindwa kudownload picha moja hapa jamaa kimechukua sidiria ya dada yake limevaa na kugoma kurudisha eti imempendeza.
ahahahah kisha wanapigia pichaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Vyakula si vya mjini wala kijijni hakuna vinavyoongeza nguvu kama huna huna tu watu tumeshinda miaka mi tatu tunakula mi dona na michemsho tatizo lko pale pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…