zinginary
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 2,483
- 1,705
Dar hawez kuwa na njaa coz n muhimu kwa nchi but asilimia kalibia ya 40%ya wakaz wa dar wanashindia mlo mmoja.....alafu sijakuelewa vema umewasikia mkoa km wa mbey umetangaza njaa.....njaa zipp huko dodoma,singida nk...my b na kagera coz mdudu aliingia ktk ndizi zao.....Takwimu za Dr Mpango, Dar ndio ina watu wachache wanaoishi kwa shida ikiwemo kukosa milo mitatu. Ikifuatiwa na Klm. Arusha iko sijui ya tano, Mwanza inashindana na Kigoma kwa shida. Kwahio ukizungumzia kushindia mlo mmoja mikoani ndio wanaongoza si Dar.
Ushawahi kusikia Dar kuna njaa? Dar hawalimi chochote zaidi ya mchicha lakini njaa haiwahusu inahusu mikoani huko tena mikoa inayolima hicho hicho chakula. Hii ina nikumbusha UK, unakula machungwa,maembe,mananasi mmwaka mzima na hakuna kinacholimwa hapo Uk, ila sisi huku TZ tunaolima embe tunakula kwa msimu, chungwa kwa msimu n.k.
Huko mkoa wenzenu asilimia wanakula chakula alicho lima yeye,kikiwa na vilutubisho vyote bila kutegemea madawa ya store ili kisioze tofaut na milo mnao kula dar..mahind au mchele umevunwa mwaka juz ,umetunzwa na chemical kibao then wala leo,hv waweza jifananisha na mtu wa mbeya au moshi...nipo dae ila hiyo mbeya na moshi nimekaaa mda mrefu wanakula afya..sio km dar mchicha unakuwa kwa kumwagiwa maji yaliyo tuwama mda mrefu bacteria kibao nk.....njoo swala la maziwa fresh ,tuje maswala ya maji ya kunywa...kiufupi dar n mkoa hatar sana kwa cancer baadae
Vile vile kumbuka dar n mji mchafu kuliko yote tz